Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

ikitokea ndege hewani imetekwa na magaidi ...wakikuuliza "Allah?" Jibu "Huakbar." ...
Wakikuuliza "Muhammad?" Jibu "rasul Allah"
Wakikuuliza "la ilah?" Jibu "ila allah"
You will thank me later, for saving your life
Acha ukafiri!!!
 
 
Kazi ya ubalozi ni kuhakiki documents zako kabla hujaingia ncho husika. Ukishapata ruksa ya kwenda huko (viza) uhamiaji hakuna wanaloweza kukufanyia. Ww panda pipa sepa
Lazima uwe na huo mkataba wa kazi, kibali cha kukuruhusu wewe kwenda kufanya kazi cha muda gani passport na visa



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…