mabula peter
New Member
- Dec 26, 2014
- 3
- 0
Ligi daraja la kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo inakua imecheza mechi ngapi..
Pukudu tatizo siku hizi huwa unapotea mno,leo tupe matokeo ya hii game
Poa poa na toto anagame gani leo..
toto fitna anazijua hawezi kupoteza hata game moja sa'hivi na Oljoro lazima ashinde hiyo game ya Kanembwa na Mwadui hawezi kufungwa uwanja wa nyumbani labda draw tu..
teh teh teh kwani hapo shidefa kuna majungu sana..