Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda hospitali watakuelekeza yote..!Wanajamvi:
Nimeenda hospitali nikaambiwa ninatakiwa nichome dawa inaitwa Ant-D..na nitakapojifungua nichome tena..nimeenda pharmacy kuulizia bei yake ni 180000...naomba mwenye uelewa na hii dawa anifundishe tafadhali na matumizi yake kwa usahihi..
Ant-D hutumika kumkinga mtoto dhidi ya mama mwenye damu yenye positive rhesus factor.
Na hii ni nzur sana kwa wamama wenye mimba ya kwanza na anayetegemea kuongeza familia badae
Kwahiyo jitahid sana ndugu yangu ili kuipata hiyo ant-D
Ahsante... Na utaratibu wake wa kuchoma ni upi doctor..Wewe utakuwa na Rhesus Negative na umebeba mtoto ana Rhesus Positive!
So huwa inatokea baadhi ya Rhesus za mtoto zinaingia kwenye mfumo wa damu wa mama na kusababisha immunity yako irespond hali inayopelekea mtoto kushambuliwa na immunity ya mama.
Ili kuzuia immune response kwa mama ndio inabidi uchome anti-D!
[HASHTAG]#ulitakiwa[/HASHTAG] ujue mapema tangu ulipoolewa na mume wako ambaye ana Rhesus +ve na wewe una Rhesus - ve!
Nakushauri nenda hospital utaelezwa kila kitu na namna ya kuchoma hyo sindano!Ahsante... Na utaratibu wake wa kuchoma ni upi doctor..