Naomba kujua matumizi sahihi ya dawa inayoitwa Ant-D

NAFIKIRE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
660
Reaction score
456
Wanajamvi:
Nimeenda hospitali nikaambiwa ninatakiwa nichome dawa inaitwa Ant-D..na nitakapojifungua nichome tena..nimeenda pharmacy kuulizia bei yake ni 180000...naomba mwenye uelewa na hii dawa anifundishe tafadhali na matumizi yake kwa usahihi..
 
Kwa ninavyojua mm hyo ni sindano anayochomwa mtu mwenye group ya damu tofauti na ya baba mtt yaan aliyempa mimba Hiii sindano inasaidia mimba kutoharibika wengi Wenye group tofauti na wezi wao yaan mwenz ana negative na ww positive wengi wao mimba zinakua hazidumu Kinatoka hvyo hyo sindano kusaidia kuzuia mimba kutoka nijuavyo zinachwa tatu before during n after kujifungua hospital nyingi wanachoma laki mbili hopefully nimekujibu
 
Wanajamvi:
Nimeenda hospitali nikaambiwa ninatakiwa nichome dawa inaitwa Ant-D..na nitakapojifungua nichome tena..nimeenda pharmacy kuulizia bei yake ni 180000...naomba mwenye uelewa na hii dawa anifundishe tafadhali na matumizi yake kwa usahihi..
Nenda hospitali watakuelekeza yote..!
 
Wewe utakuwa na Rhesus Negative na umebeba mtoto ana Rhesus Positive!
So huwa inatokea baadhi ya Rhesus za mtoto zinaingia kwenye mfumo wa damu wa mama na kusababisha immunity yako irespond hali inayopelekea mtoto kushambuliwa na immunity ya mama.

Ili kuzuia immune response kwa mama ndio inabidi uchome anti-D!

[HASHTAG]#ulitakiwa[/HASHTAG] ujue mapema tangu ulipoolewa na mume wako ambaye ana Rhesus +ve na wewe una Rhesus - ve!
 
Ant-D hutumika kumkinga mtoto dhidi ya mama mwenye damu yenye positive rhesus factor.
Na hii ni nzur sana kwa wamama wenye mimba ya kwanza na anayetegemea kuongeza familia badae
Kwahiyo jitahid sana ndugu yangu ili kuipata hiyo ant-D
 
Hapo ni wamama wenye negative rhesus factor na siyo positive
 
62778ff9f9a3807f381e9d40d63fa428.jpg
 
Dada, kama ni hivyo nenda kachome tu usije kupoteza mtoto. Kama huna hiyo pesa, sema tuangalie namna ya kukusaidia...
 
Sawa atajitahidi ila unamsaidiaje ktk swali lake hilo!!?wakati mwengine sio rahisi kuanza kuuliza uliza maswali kwenye maofisi ya watu ukishauliza unakaa pembeni kutokana na sometimes kuwa na msururu wa wahitaji huduma ndo mana mtu anakuja kuuliza humu.
 
Wewe utakuwa na Rhesus Negative na umebeba mtoto ana Rhesus Positive!
So huwa inatokea baadhi ya Rhesus za mtoto zinaingia kwenye mfumo wa damu wa mama na kusababisha immunity yako irespond hali inayopelekea mtoto kushambuliwa na immunity ya mama.

Ili kuzuia immune response kwa mama ndio inabidi uchome anti-D!

[HASHTAG]#ulitakiwa[/HASHTAG] ujue mapema tangu ulipoolewa na mume wako ambaye ana Rhesus +ve na wewe una Rhesus - ve!
Ahsante... Na utaratibu wake wa kuchoma ni upi doctor..
 
Back
Top Bottom