Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia/wanavyoleta maendeleo ya wananchi waliowachagua.
Wabunge ni kama class monitors au CR wa darasa. Ova.Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia/wanavyoleta maendeleo ya wananchi waliowachagua.
Una uhakika na unachosema?Wabunge ni kama class monitors au CR wa darasa. Ova.
Una mfano wowote juu ya hiliKutunga sheria zinazoleta maendeleo kwa wanachi na kuisimamia Serikali katika utekelezaji wa Sera kwa wananchi
Kwamba hujui kuwa kazi ya mbunge ni kutunga sheria?Una mfano wowote juu ya hili
Dalali wa tumbo lakeMbunge ni dalali wa maendeleo kwenye jimbo lake
MBUNGE huwa anatunga sheria tangu lini? Fuatilia process za utungaji wa sheria vizuri halafu uje utuambie vizuriKwamba hujui kuwa kazi ya mbunge ni kutunga sheria?
Kasome maelezo ya Prof. Tibaijuka kwenye Aya ya mwisho ya maelezo yakeKutunga sheria zinazoleta maendeleo kwa wanachi na kuisimamia Serikali katika utekelezaji wa Sera kwa wananchi
Shida ya elimu ya kukaririshwa kama sala za diniKwamba hujui kuwa kazi ya mbunge ni kutunga sheria?
Hakuna la maana wafanyalo zaidi ya kuiongezea serikali mzigo wa uendeshaji.Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia/wanavyoleta maendeleo ya wananchi waliowachagua.
Kutunga sheria au kupiga meza kuunga mkono miswada ya kisheria inayoletwa na Serikali?Kutunga sheria zinazoleta maendeleo kwa wanachi na kuisimamia Serikali katika utekelezaji wa Sera kwa wananchi
Na kula nyama choma na kucheza na misambwada kwa nguvu za Viagra na vumbi la kongoKutunga sheria au kupiga meza kuunga mkono miswada ya kisheria inayoletwa na Serikali?
Upo sahihi mkuuSerikali ndio inayofanya maendeleo majimboni, mbunge anaweza akaongea na asisikilizwe
Nishajua dhamira ya swali lako endelea kuuliza utapata majibu uyapendayoMBUNGE huwa anatunga sheria tangu lini? Fuatilia process za utungaji wa sheria vizuri halafu uje utuambie vizuri