Naomba kujua namna ya kufanya analysis za Forex

Naomba kujua namna ya kufanya analysis za Forex

Doreen mathew

Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
7
Reaction score
7
Habarini za saa hizi wadau.

Mimi ni mgeni kwenye swala la forex sasa katika kujifunza nimeona kitu muhimu n kujua market structure (analysis) ambayo itaniwezesha kujua soko linatarajia kufanya nin kwa wakati sahihi.

Hivyo basi ni ombi langu kwa wadau wa forex kuhusu maelekezo either nitumie website gani, au kitabu au whater the document you so that zinaweza kunisaidia kufikia malengo.

Nawakaribisha hata inbox kwa maelekezo
 
website gani
Code:
https://www.babypips.com/learn
- Kwenye hii webpage inatakiwa utumie sio chini ya miezi mitatu, kumaliza kozi yote. Unakazia maarifa Youtube
==
kitabu au whater the document you so that zinaweza kunisaidia kufikia malengo.
Code:
https://www.jamiiforums.com/threads/forex-biashara-yenye-utajiri-mkubwa-zaidi-duniani-ambayo-hakuna-benki-itataka-uijue.1257266/
Kwenye hii thread👆 kuna kila kitu/ kila ushauri / Vitabu vya kutosha vilivyopendekezwa / Video za kutosha, ni uzi uanojitosheleza kwa anayeanza kabisa.

Hizo link mbili zinatosha kabisa. Hapo utakuwa umekuza ufahamu wako kwa kiasi kikubwa sana, ila sasa sio kuweza kutrade profitably.
 
Code:
https://www.babypips.com/learn
sha kabisa. Hapo utakuwa umekuza ufahamu wako kwa kiasi kikubwa sana, ila sasa sio kuweza kutrade profitably.
Hahahha nimeipenda ety sio kuweza kutrade profitably saaa itakuaje na mm n hyo nataka ...jokes

By the way shukran acha nikajisomee then nitakurudia najua tyu jiandae kwa usumbufu😀
 
Tafuta watu wakufundishe upunguze muda wa kusoma.
 
tuongeze maarifa
IMG-20220918-WA0010.jpg
IMG-20220918-WA0008.jpg
 
Haya sawa uenda wewe ukawa na nyota kali kuliko sisi ila kiufupi inapoteza muda tu unless uwe ata na. 10000$ kma capital
 
Haya sawa uenda wewe ukawa na nyota kali kuliko sisi ila kiufupi inapoteza muda tu unless uwe ata na. 10000$ kma capital
Acha uongo...huna knowledge ya kutosha...niliwah kuwaza hivyo pia na nikaamua kutumia cent accounts lakin nikapigwa tena....lakin nilipopata knowledge nikaona utofauti mkubwa sana...kinachowasumbua hamfuati kanun za R:R...mfano una 25$ kwenye account alafu stop loss yako inasoma 3$. ..Tena hiyo n kwa entry moja ...tena entry yenyewe ya HTF...unategemea nn kama sio kilio...bado hujajua kuhusu SPREAD,.SWAP, LEVERAGE na LOT SIZE.....kiufup kama mtu hujui kuhusu FOREX KAA KIMYA....
 
Broh sijui kwakweli lakini forex ni kupoteza muda sana na watu wengi wanapata hela kwa kuuza services either signal au cousre lakini kupata fedha kwenye soko uongo mzee na wengi wanaamin fx ina hela kwa kuaminishwa na mentor lakini ukimuuliza mtu onyesha account history atazunguka mara sina maonyesho mara mimi kupata hela haimaanishi na ww utapata mwsho wa siku hlo jibu hakuna
 
Hao agents wao kwa dar es salaam wanapatikana wapi
Ni matrader tu vijana wenzetu walio Anza zamani ko wengi hawana office special ya uagent wengine wako mikoa mingine na wengine wako ata nje ya nchi now
 
Ni matrader tu vijana wenzetu walio Anza zamani ko wengi hawana office special ya uagent wengine wako mikoa mingine na wengine wako ata nje ya nchi now
Atanipatiaje huduma huku sina securty na huduma yenyewe!!?
 
Habarini za saa hizi wadau.

Mimi ni mgeni kwenye swala la forex sasa katika kujifunza nimeona kitu muhimu n kujua market structure (analysis) ambayo itaniwezesha kujua soko linatarajia kufanya nin kwa wakati sahihi.

Hivyo basi ni ombi langu kwa wadau wa forex kuhusu maelekezo either nitumie website gani, au kitabu au whater the document you so that zinaweza kunisaidia kufikia malengo.

Nawakaribisha hata inbox kwa maelekezo
Soma BabyPips kama Beginner.
Then ukishamaliza, ingia YouTube,tafuta channel ya INNER CIRCLETRADER, Jifunze ICT 2022 MENTORSHIP PROGRAM, NI STRATEGY KABISA, THEN DOWNLOAD MT4 AU TRADING VIEW, THEN TEST KWENYE DEMO ACCOUNT AU PAPER TRADING KWA MUDA WA MIEZI MITATU.
PIA TAFUTA KITABU CHA CURRENCY FOR DUMMIES, SOMA KIPENGELE CHA FUNDAMENTAL ANALYSIS, MAANA ASILIMIA 99% ZA MOVE ZA INTERBANK MARKETS ZINASABABISHWA NA ECONOMIES ZA NCHI MBALIMBALI, GEOPOLITICS, WEATHER CONDITIONS, SEASONALITY NA WALA SIO TRENDLINE AU PRICE ACTION ZINAZOMOVE CURRENCIES, STOCK, INDICES, COMMODITIES NA CRYPTO CURRENCIES.
PIA UNAWEZA JIFUNZA FUNDAMENTAL ANALYSIS KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YA KAREN FOO, ULTIMATE FUNDAMENTAL ANALYSIS.
 
nakushauri achana na vitabu utapoteza muda kama una pesa kidogo jaribu kuwatembelea Hawa.
Intelligence fx
Low-key fx
Dizofx
Pipstorm fx
Joshua fx
Msumba fx
wote hao wanakula market structure.
Ila ukitaka kupata mwanga 40% hata Mimi naweza kukusaidia..60% utatafuta kwa wengine.
 
Back
Top Bottom