ICT Yuko Bure pale YouTube.nakushauri achana na vitabu utapoteza muda kama una pesa kidogo jaribu kuwatembelea Hawa.
Intelligence fx
Low-key fx
Dizofx
Pipstorm fx
Joshua fx
Msumba fx
wote hao wanakula market structure.
Ila ukitaka kupata mwanga 40% hata Mimi naweza kukusaidia..60% utatafuta kwa wengine.
Yote wanayofundisha hao yeye ndo mgunduzi, so namshauri akajifunze kwake asitoe ela kwa mtu yeyote, ni bando lake tu.
Ila vitabu vinakufanya uwe nondo zaidi.
Kwenye hii game ni managing your risk tu, hakuna strategy yenye 100% efficiency.