Doreen mathew
Member
- Jan 17, 2017
- 7
- 7
website gani
https://www.babypips.com/learn
kitabu au whater the document you so that zinaweza kunisaidia kufikia malengo.
https://www.jamiiforums.com/threads/forex-biashara-yenye-utajiri-mkubwa-zaidi-duniani-ambayo-hakuna-benki-itataka-uijue.1257266/
Hahahha nimeipenda ety sio kuweza kutrade profitably saaa itakuaje na mm n hyo nataka ...jokessha kabisa. Hapo utakuwa umekuza ufahamu wako kwa kiasi kikubwa sana, ila sasa sio kuweza kutrade profitably.Code:https://www.babypips.com/learn
Acha uongo...huna knowledge ya kutosha...niliwah kuwaza hivyo pia na nikaamua kutumia cent accounts lakin nikapigwa tena....lakin nilipopata knowledge nikaona utofauti mkubwa sana...kinachowasumbua hamfuati kanun za R:R...mfano una 25$ kwenye account alafu stop loss yako inasoma 3$. ..Tena hiyo n kwa entry moja ...tena entry yenyewe ya HTF...unategemea nn kama sio kilio...bado hujajua kuhusu SPREAD,.SWAP, LEVERAGE na LOT SIZE.....kiufup kama mtu hujui kuhusu FOREX KAA KIMYA....Haya sawa uenda wewe ukawa na nyota kali kuliko sisi ila kiufupi inapoteza muda tu unless uwe ata na. 10000$ kma capital
Hata uwe na $100,000.Kama kichwani huna maarifa lazima uangamie tu.Haya sawa uenda wewe ukawa na nyota kali kuliko sisi ila kiufupi inapoteza muda tu unless uwe ata na. 10000$ kma capital
Wafundishao Ni failures katika hii industry mkuu. Jaribu kumuomba his trading 3yrs historyTafuta watu wakufundishe upunguze muda wa kusoma.
Broh sijui kwakweli lakini forex ni kupoteza muda sana na watu wengi wanapata hela kwa kuuza services either signal au cousre lakini kupata fedha kwenye soko uongo mzee na wengi wanaamin fx ina hela kwa kuaminishwa na mentor lakini ukimuuliza mtu onyesha account history atazunguka mara sina maonyesho mara mimi kupata hela haimaanishi na ww utapata mwsho wa siku hlo jibu hakunaAcha uongo...huna knowledge ya kutosha...niliwah kuwaza hivyo pia na nikaamua kutumia cent accounts lakin nikapigwa tena....lakin nilipopata knowledge nikaona utofauti mkubwa sana...kinachowasumbua hamfuati kanun za R:R...mfano una 25$ kwenye account alafu stop loss yako inasoma 3$. ..Tena hiyo n kwa entry moja ...tena entry yenyewe ya HTF...unategemea nn kama sio kilio...bado hujajua kuhusu SPREAD,.SWAP, LEVERAGE na LOT SIZE.....kiufup kama mtu hujui kuhusu FOREX KAA KIMYA....
Ni matrader tu vijana wenzetu walio Anza zamani ko wengi hawana office special ya uagent wengine wako mikoa mingine na wengine wako ata nje ya nchi nowHao agents wao kwa dar es salaam wanapatikana wapi
Atanipatiaje huduma huku sina securty na huduma yenyewe!!?Ni matrader tu vijana wenzetu walio Anza zamani ko wengi hawana office special ya uagent wengine wako mikoa mingine na wengine wako ata nje ya nchi now
Soma BabyPips kama Beginner.Habarini za saa hizi wadau.
Mimi ni mgeni kwenye swala la forex sasa katika kujifunza nimeona kitu muhimu n kujua market structure (analysis) ambayo itaniwezesha kujua soko linatarajia kufanya nin kwa wakati sahihi.
Hivyo basi ni ombi langu kwa wadau wa forex kuhusu maelekezo either nitumie website gani, au kitabu au whater the document you so that zinaweza kunisaidia kufikia malengo.
Nawakaribisha hata inbox kwa maelekezo