Naomba kujua namna ya kufanya analysis za Forex

ICT Yuko Bure pale YouTube.
Yote wanayofundisha hao yeye ndo mgunduzi, so namshauri akajifunze kwake asitoe ela kwa mtu yeyote, ni bando lake tu.
Ila vitabu vinakufanya uwe nondo zaidi.
Kwenye hii game ni managing your risk tu, hakuna strategy yenye 100% efficiency.
 
ni kweli
kabisa uko sahihi..lakini fahamu tu kuwa wengi wanaofanya hivyo ni failures walishindwa kuelewa soko na kuamua kuwageukia beginners...hivyo ni wezi in nature....lakini kama ukielewa alogarith ya FOREX,.uko vizuri na unapata faida kubwa tu....mimi ni trader niulize swali lolote lile linalohusu trading nakujibu....sifundishi wala kuuza signal s,...pesa ya ukweli kwenye market
 
Nakupinga boss ! mtu forex ni charts siyo vitabu.

Kwenye forex tunafanikiwa kwa experience na siyo vitabu, experience tunaipata kupitia charts..

Nakupinga Tena , ila siyo lazima ufate ushauri wangu, hata Mimi mwanzoni nilikuwa na mawazo kama Yako.

Ufundi nilionao kwa Sasa you tube haupo,kwenye vitabu haupo, Sasa jiulize nimeupata wapi.
 
Ni kweli kabisa Kila kitu kipo kwenye charts sikatai, ila vitabu vina umuhimu wake kukushape kuwa Bora zaidi, mfano economic data, jinsi ya kuzi-interpret, Intermarket analysis, psychology na n.k ukichimba kwenye vitabu vya profitable traders kama Larry Williams , Karen Foo na Market Wizards Kuna vitu utagain sana.
Mfano kupitia kusoma makala, nimegundua Kuna mabadiliko kwenye algorithms kuanzia June ambapo, forex markets zitaanza kuongezwq volatilities na kuwa kama index vile, so vitu kama hivi havipatikani kwenye charts pia na kwenye vitabu.
 
Nisaidieni na Mimi namba za hao mateacher wa fx hapa Tanzania
 
B
Boss kwema .samahan unaweza kunipa mwanga kuhus forex . Nataka nijaribu.
Nimefatiria charting zako unaonekana unamadini kuhus hii industrily .
Msaada tafadhari
 
B

Boss kwema .samahan unaweza kunipa mwanga kuhus forex . Nataka nijaribu.
Nimefatiria charting zako unaonekana unamadini kuhus hii industrily .
Msaada tafadhari
Nitafute kwa wakati wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…