Naomba kujua namna ya kufika Comoro kwa njia ya maji (bahari)

Naomba kujua namna ya kufika Comoro kwa njia ya maji (bahari)

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Wakuu habari zenu,

Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo.

Naomba kujua namna ya kufika comoro kwa njia ya maji. Na je kuna vyombo vya moja kwa moja toka Dar au Zanzibar mpaka huko?

Kuna fursa gani za kiuchumi huko? Kuna watu wameniambia ukipeleka zile culture wanazovaa vijana kule soko ni zuri. Naomba kujua fursa nyingine nk.

Shukrani
 
Kwakweli ningekushauri ufike pale port geti namba 1 panapopakiziwa mizigo ya kwenda comoro utapata maelekezo kwa kina, kuhusu kupeleka vitu huku sina uhakika ila kiukweli mizigo mingi sana tofauti tofauti inapelekwa huko ningeshauri fika hapo Bandarini utaweza kupata japo dondoo zikakusaidia.
 
Kwakweli ningekushauri ufike pale port geti namba 1 panapopakiziwa mizigo ya kwenda comoro utapata maelekezo kwa kina, kuhusu kupeleka vitu huku sina uhakika il kiukweli mizigo mingi sana tofauti tofauti inapelekwa huko ningeshauri fika hapo Bandarini utaweza kupata japo dondoo zikakusaidia.
Nakushukuru ndugu
 
Njoo Bandarini hapa gate namba moja kuna meli ndogo inaenda commoro pia azam sea link kuna ipo ya comoro
 
Upo uzi humu unazungumzia kuhusu hiyo nchi na fursa zake.
 
Nauli ya mtu kwenda mpaka Morocco ikoje? Je Kuna mtu humu anaishi Morocco, nataka niongee naye
 
Back
Top Bottom