Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Nakushukuru nduguKwakweli ningekushauri ufike pale port geti namba 1 panapopakiziwa mizigo ya kwenda comoro utapata maelekezo kwa kina, kuhusu kupeleka vitu huku sina uhakika il kiukweli mizigo mingi sana tofauti tofauti inapelekwa huko ningeshauri fika hapo Bandarini utaweza kupata japo dondoo zikakusaidia.
Asante sana mkuuNjoo Bandarini hapa gate namba moja kuna meli ndogo inaenda commoro pia azam sea link kuna ipo ya commoro
Mkuu Uzi unamzungumzia visiwa vya Comorro, wewe unaongelea Morocco iiliyo kaskazini ya AfricaNauli ya mtu kwenda mpaka Morocco ikoje? Je Kuna mtu humu anaishi Morocco, nataka niongee naye
Nilikosea ninamaanisha Comoro na sio Morocco, Asante kwa masahihishoMkuu Uzi unamzungumzia visiwa vya Comorro,wewe unaongelea Morocco iiliyo kaskazini ya Africa