Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengeneza kibanda chenye chanja, kitafaa zidi.Habarini wana Jf.
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kuhifadhi vitunguu.Nahitaji kuhifadhi peto kama 10 hivi kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu hivi.
Natanguliza Shukrani.
Unyevu ndani hasa vikigusa sakafu huwa vinwharibika, ila changua inayofaa zaidi.Ahasnte..haiwez kufaa ndan?endapo nikaviweka chumba chenye hewa ya kutosha,sehemu kavu na nikavimwaga na kuvisambaza?
Ahsante,lakini lengo ni kuhifadhi vilivyovunywa tayari ili masika niviuze.Nafahamu njia ,ila ni endapo vipo shambani,chukua dumu la duara la litr 20 jaza maji funika vizuri ,viringisha shambani hii itasaidia kuvunja vikonyo baada ya mda vitaanza kuwa kama vinachipua tena,ndio njia ya asili niijuayo
Ni ngumu mkuu ni aina gani swaumu au majiAhsante,lakini lengo ni kuhifadhi vilivyovunywa tayari ili masika niviuze.
Ni ngumu mkuu japo kwa muda mfupi ukipata sehemu kavu itapendezaVitunguu maji...
Pole..lakin utafanikisha.Umelimia wap mkuu??Du ninahicho kibarua cause natarajia vuna December, njia nikuweka ndani ya chumba/ghala lakini ni lazima uvining'inize, unaviweka kwenye mafungu halafu unavifunga kwa juu ndo inavitundika juu
Niliona dicumentary BBC how to store onions. Vinawekwa kwenye ghala lisilo na mwana na joto la 35-40 Fahrenheit. Vinakaa mwaka mzima bila wasiwasi
Hifadhi kwenye mifuko ya karatasi iliyotobolewa.
How to Harvest and Store Onions