Naomba kujua namna ya kumblock mtu

Naomba kujua namna ya kumblock mtu

mayonise

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
259
Reaction score
50
Habari wana forum,kuna watu wengine ni wasumbufu sana kwenye simu anaejua namna ya kublock ili asinipate akinipigia wala kutuma text.
natumia sim aina ya samsung s4
 
Ingia playstore kuna apps zinafanya hivyo ! (call blocker)
 
dawa ya deni ni kulipa, akikukosa kwa simu yake atatumia simu ya mtu mwingine.

Mkuu wengne hata hatudaiwi isipokuwa mtu utakuta ni msumbufu bila hata reasons mara anakutumia zile message za ku4wadiaana kwa dakika anawezatuma text kumi
sasa za nn zote hizo
Inakera sana
 
Kama Unataka SMS blocker nzuri nenda PLAYSTORE. Tafuta app inaitwa SMS blocker. Hii inablock sms hata bila kujua mwenyewe.

Ila natafuta app itakayoblock Call bila mimi kupata notification yeyote ile.. mwenye kuijua please anishtue
 
cc chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
nenda play store tafuta phone warrior unaweza kublock text za upuuzi za voda na unknown number unauwezo wa kublock pia kujua id ya namba kama imetumika kwenye social networks

Shikamoo mkuu undefeated,voda wanakera,ngoja nijaribu nitarudi
 
Kama Unataka SMS blocker nzuri nenda PLAYSTORE. Tafuta app inaitwa SMS blocker. Hii inablock sms hata bila kujua mwenyewe.

Ila natafuta app itakayoblock Call bila mimi kupata notification yeyote ile.. mwenye kuijua please anishtue

Ntaitumia hii na ntaleta mrejesho
 
nenda play store tafuta phone warrior unaweza kublock text za upuuzi za voda na unknown number unauwezo wa kublock pia kujua id ya namba kama imetumika kwenye social networks

Hii itakuwa nzuri sana
 
Mkuu wengne hata hatudaiwi isipokuwa mtu utakuta ni msumbufu bila hata reasons mara anakutumia zile message za ku4wadiaana kwa dakika anawezatuma text kumi
sasa za nn zote hizo
Inakera sana
Ukiblock atakupigia kwa namba ingine na atakupata tu dawa si kublock mwambie ukweli kuwa ndugu unasumbua usinipigie sometimes ukweli unauma lakini unasaidia sana,ukitaka uishi kwa raha daima uwe mkweli na usisite kusimamia kila unachokiamini.
 
Habari wana forum,kuna watu wengine ni wasumbufu sana kwenye simu anaejua namna ya kublock ili asinipate akinipigia wala kutuma text.
natumia sim aina ya samsung s4

nenda call setting check black list ingiza namba zake weka on kwisha habari yake
 
Km ni nokia ambayo haijawahi kubadiliswa pasward ni 12345
Km itakua imebadiliswa itabidi uifomart hiyo cm iweze kurudi
 
Back
Top Bottom