Naomba kujua namna ya kumblock mtu

Naomba kujua namna ya kumblock mtu

Nilidownload lakin sasa me ctaki hata notification cz akipiga ni kama amebip
 
Habari wana forum,kuna watu wengine ni wasumbufu sana kwenye simu anaejua namna ya kublock ili asinipate akinipigia wala kutuma text.
natumia sim aina ya samsung s4
Haina haja ya app..kama una s4 nenda kwenye call log then click iyo namba alafu bonyeza button ya option utaona 'Add to reject list'..ukiClick apo hakupati milele.
Kublock sms zake nenda kweny messages utaiona iyo option pia.
 
Kama watumia android najua waenda kwa namba ya mtu katik contacts, then options, call block, ingawa cjawah jaribu kuona kama notifications huja au la
 
Kwa nini unahangaika kublock wakati akibadili namba atakupata? Kama hukimbii madeni basi una uhuru wa kumkataza mtu yeyote asiwasiliane na wewe. Hata kama ni moenzi au mtalaka au adui ni kuwa wazi tu kuwa "sitaki nawasiliano na wewe". Kama ana akili atasitisha kwa kuwa mapenzi au urafiki havilazimishwi.
 
Haina haja ya app..kama una s4 nenda kwenye call log then click iyo namba alafu bonyeza button ya option utaona 'Add to reject list'..ukiClick apo hakupati milele.
Kublock sms zake nenda kweny messages utaiona iyo option pia.

Asante mkuu
 
Kwa nini unahangaika kublock wakati akibadili namba atakupata? Kama hukimbii madeni basi una uhuru wa kumkataza mtu yeyote asiwasiliane na wewe. Hata kama ni moenzi au mtalaka au adui ni kuwa wazi tu kuwa "sitaki nawasiliano na wewe". Kama ana akili atasitisha kwa kuwa mapenzi au urafiki havilazimishwi.

Kuna watu ni ving'ang'anizi mno hata ukimkanya vpi bado aaanakutumia text za ajabu tu hakuna la maana,
 
Habari wana forum,kuna watu wengine ni wasumbufu sana kwenye simu anaejua namna ya kublock ili asinipate akinipigia wala kutuma text.
natumia sim aina ya samsung s4
kama huna deni basi kuna ka mchepuko ulikadanganya kua upo single sasa kadri siku zinavo zidi kwenda unaona atakuaribia kwa bibie/babaa............hahahaha unalo
 
Hivi hakuna namna ya kumblock mtu asijibu post zangu humu?
 
Screenshot_20250304-104444.jpg
 
Back
Top Bottom