Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia playstore kuna apps zinafanya hivyo ! (call blocker)
nitajaribu, yuko mmoja ananisumbua!
dawa ya deni ni kulipa, akikukosa kwa simu yake atatumia simu ya mtu mwingine.
Ingia playstore kuna apps zinafanya hivyo ! (call blocker)
natumia Nokia X2,mtandao wa voda,lete namna nimblock mdada mmoja msumbufu sana,ye ananitafuta mwisho wa mwezi tu
Kama Unataka SMS blocker nzuri nenda PLAYSTORE. Tafuta app inaitwa SMS blocker. Hii inablock sms hata bila kujua mwenyewe.
Ila natafuta app itakayoblock Call bila mimi kupata notification yeyote ile.. mwenye kuijua please anishtue
natumia Nokia X2,mtandao wa voda,lete namna nimblock mdada mmoja msumbufu sana,ye ananitafuta mwisho wa mwezi tu
check call setting then ingiza namba yake kwenye black list.
nenda play store tafuta phone warrior unaweza kublock text za upuuzi za voda na unknown number unauwezo wa kublock pia kujua id ya namba kama imetumika kwenye social networks
Kama Unataka SMS blocker nzuri nenda PLAYSTORE. Tafuta app inaitwa SMS blocker. Hii inablock sms hata bila kujua mwenyewe.
Ila natafuta app itakayoblock Call bila mimi kupata notification yeyote ile.. mwenye kuijua please anishtue
X2-00
X2-01
X2-02
Zote ni Nokia X2 mkuu ! Ulimaanisha ipi labda ?
Ukiblock atakupigia kwa namba ingine na atakupata tu dawa si kublock mwambie ukweli kuwa ndugu unasumbua usinipigie sometimes ukweli unauma lakini unasaidia sana,ukitaka uishi kwa raha daima uwe mkweli na usisite kusimamia kila unachokiamini.Mkuu wengne hata hatudaiwi isipokuwa mtu utakuta ni msumbufu bila hata reasons mara anakutumia zile message za ku4wadiaana kwa dakika anawezatuma text kumi
sasa za nn zote hizo
Inakera sana
Habari wana forum,kuna watu wengine ni wasumbufu sana kwenye simu anaejua namna ya kublock ili asinipate akinipigia wala kutuma text.
natumia sim aina ya samsung s4
nenda call setting check black list ingiza namba zake weka on kwisha habari yake