K Kingswat Member Joined Dec 4, 2014 Posts 26 Reaction score 3 Jul 12, 2018 #1 Wanajanvi naomba kujua namna ya kusajili yutube /blog tcra. Naona tcra wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube. Nawasilisha kwenu kwa mablogers
Wanajanvi naomba kujua namna ya kusajili yutube /blog tcra. Naona tcra wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube. Nawasilisha kwenu kwa mablogers
webroyalz Senior Member Joined Jun 6, 2015 Posts 199 Reaction score 337 Jul 12, 2018 #2 Hii ngumu kuelewa "wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube"