Naomba kujua namna ya kusajili YouTube /blog TCRA

Naomba kujua namna ya kusajili YouTube /blog TCRA

Kingswat

Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
26
Reaction score
3
Wanajanvi naomba kujua namna ya kusajili yutube /blog tcra. Naona tcra wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube. Nawasilisha kwenu kwa mablogers
 
Hii ngumu kuelewa "wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube"
 
Back
Top Bottom