UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 173
Please kama unajua msanii wa bongo flava wimbo wake umetumika kwenye movie ya kimarekani ya "THe house at the end of the street" ni msanii gani huyu? movie hii imetolewa mwaka jana 2012 nikasikia mtu anachana bongo flava ndani nikashangaa sana director wa hii movie ni Mark Tonderai starring ni jeniffer lawrence (kama mnaofatilia jennifer alipata awards for the best actors 2013 usa)
kama kuna mwenye kujua anijuze tafadhali, nampongeza in advance sauti nahisi kama ya AY lakini sina uhakika
kama kuna mwenye kujua anijuze tafadhali, nampongeza in advance sauti nahisi kama ya AY lakini sina uhakika