Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

Ukifika Ukerewe utashangaa na roho yako,unakijua kibambala?kikipikwa hcho kinanukia shombo humo ndani wiki tisa[emoji16]
Kibambala cha nini ye achemshe ngele tu

Atapata mnukio amazing...mwaka mzima
 
Daaah hilo sijawahi kuliwazia ila ntajarib kuulizia
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Mkuu mara nyingi harufu inatokana na vyakula unavyopika sio uchafu wa nyumba tu huleta harufu. Harufu ya chakula wakati wa kupika huishia kwenye macouch pazia carpet etc
 
Hahaa...huyo sidhani kama anahitaji msaada.

Nahisi atakuwa mmoja wa wale fans wangu wanaopenda kunifuatilia kwa ukaribu na kunizingua zingua.

Si unafahamu kuwa nina ma fans wengi humu?
Hapana sijui kama uma mafans humu
 
Tulia mkuu we vuta Oxygen pure
Achana na hivo vuta
Huenda navyo vina madhara yake
 
Hapana sijui kama uma mafans humu

Oh kumbe..

Ninao wengi mno.

Wakinimiss sana huwa wanashindwa kujizuia na kuanza kunitafuta kwa hali na mali.

Wengine hadi wanafikia hatua ya kunipigia simu na kuficha namba zao halafu nikipokea hawasemi kitu, wanaishia kuogopa tu.
 
Oh kumbe..

Ninao wengi mno.

Wakinimiss sana huwa wanashindwa kujizuia na kuanza kunitafuta kwa hali na mali.

Wengine hadi wanafikia hatua ya kunipigia simu na kuficha namba zao halafu nikipokea hawasemi kitu, wanaishia kuogopa tu.
Number ya simu wanaitoa wapi?Ok ndio maana wengine hadi pm wanakufata au wewe kuna mafans wako wengine unawafataga mwenyewe??[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…