Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

Ukifika Ukerewe utashangaa na roho yako,unakijua kibambala?kikipikwa hcho kinanukia shombo humo ndani wiki tisa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinichekeshe mimi kumbe adi wakerewe wapo jf[emoji12][emoji12] sema umenikumbusha mbali kuna sehem nilikula iko kibambala nakwambia nilinawa na sabun lkn wap [emoji23][emoji23]ukerewe bwana haya bhna
 
Tunatumia humidifier my dear. Tunaweka essential oils kwenye humidifier wengine huziita diffuser and then hewa safi and pia it helps to relax.

Nzuri kwa afya pia.
 
Tunatumia humidifier my dear. Tunaweka essential oils kwenye humidifier wengine huziita diffuser and then hewa safi and pia it helps to relax.

Nzuri kwa afya pia.
Kanatoa kamvuke kwa mbali, na wala haiwezi kukupa Mafua tofauti na maspray yao
 
Kuna huu mshumaa
I_5038580013580_50_20160519

Halafu kuna hivi vijiti ambayo vinatema tu harufu nzuri sana ya manukato 24/7.

Hivi vijiti vyaitwa "seagrass diffusers".

I_215177474_02_20150804
Vinapatikana wap na bei yake ipoje?
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Mkuu we ni fala sana😂😅🤣🙌 ndo nimecheck comment yako kwakweli umenifuraisha
 
We jamaa bhana..yaani umeshindwa kuniuliza pale pale home mpaka uje JF!?

Anyways Mimi njia yangu ni simple saana, natumia njia natural and sustainable nimepanda maua madogo mazuri halisi kabisa pale sebuleni na baadhi ya maeneo ndani kwenye vikopo maalumu..maua hayo ni special kwa ajili ya home aromas..maua yanapatikana Spain, Italy and Turkey mostly yanaitwa Queen of the aromatic night...!

Ukija tena uniambie nikukatie kaua ukapande home kamche kamoja tu kanatosha kunukisha hata ghorofa. In case usiponikuta we chuma kajani kamoja kwa kuvizia akikisha mlinzi hakuoni maana hanaga dogo yule yero!
😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinichekeshe mimi kumbe adi wakerewe wapo jf[emoji12][emoji12] sema umenikumbusha mbali kuna sehem nilikula iko kibambala nakwambia nilinawa na sabun lkn wap [emoji23][emoji23]ukerewe bwana haya bhna

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu, ni chakula gani hicho
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Ah si mchezo
 
Back
Top Bottom