heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Itajulikana hapohapo!
Tulia soma upepo kwanza maana zipo Sinema zinakuja mbele za kushangaza sana, Nchimbi anaenda kuwa Rais kwa mujibu wa katiba mara tu ya ccm kujipa ushindi Bandia wa Uongo ndipo utabiri wa Sheikh Yahya utatimia na mama kuwekwa pembeni kisha Nchimbi kuwa Rais na kesi nyingi mfululizo za ufisadi kuanza kila kona ya NchiHadi sasa nipo njiapanda sijui nishike wapi, kwanza nina uchungu kwa tunayofanyiwa na tuliofanyiwa na tutakayofanyiwa yani nimechanganyikiwa hadi pumzi inatoka kwa shida kila nikizunguka Jf ,X, Ig , hasira zimejaa kifuani kinataka kupasuka.
Kwanini sisi wapole tunaonewa hivi au sisi ni wabinafsi Mungu anaamua kutukomesha?
Nataka kujuwa moja tunatoka au tunatick , wanamtandao watuachie nchi yetu kwa amani awataki kuichukuwe kilazima tumechoka tunayofanyiwa
Mama hana uhuru kisa akifanya jambo kuna watu nyuma wanamwambia kumbuka tumefosi uwe apo
Ntahakikisha October narudi nyumbani Tanzania nijue nina tick au nina toka
Laana ya chadema kwa ccm ni kubwa mnoTz ni yakishenz ininahitaj kuombewa Sana.
Matokeo wanayo mfukoni tayari kumbuka Tanzania ni Nchi ya kifalume ya ccm kwa sasa hakuna uchaguzi kuna maigizo tuOctober ni kujitafutia vimchumba viwili, na kushinda navyo hadi matokeo yao wajitangazie
Ni hasara tu, hizo hela wangelipa hata deni la taifaMatokeo wanayo mfukoni tayari kumbuka Tanzania ni Nchi ya kifalume ya ccm kwa sasa hakuna uchaguzi kuna maigizo tu
Ili wazo zuriOctober ni kujitafutia vimchumba viwili, na kushinda navyo hadi matokeo yao wajitangazie
Eeh ni mwendo wa 3some tuIli wazo zuri