Naomba kujua pera linaitwaje kwa kingereza

Neno pera kwa kingereza linaitwaje
Nina zaidi ya miaka 30 nipo Dar es salaam, sijawahi kuona pera mahali popote pale. Vile vile kwenye safari zangu zote nilizowahi kufanya, mfano Dar- Mbeya, Dar- Arusha, Dar- Mwanza, n.k. sijawahi kupita mahali nikaona mapera yanauzwa. Sikumbuki mara ya mwisho nilikula pera lini. Je hapa Dar mapera yapo?
 
Linaitwa Pera ila kwa Kiingereza sasa😂😂,,Just kidding bhana,,,ngoja wajuzi waje
 
Nina zaidi ya miaka 30 nipo Dar es salaam, sijawahi kuona pera mahali popote pale. Vile vile kwenye safari zangu zote nilizowahi kufanya, mfano Dar- Mbeya, Dar- Arusha, Dar- Mwanza, n.k. sijawahi kupita mahali nikaona mapera yanauzwa. Sikumbuki mara ya mwisho nilikula pera lini. Je hapa Dar mapera yapo?
Dar mbona yapo mengi sana tu,tena kariakoo yamejaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom