Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Nina zaidi ya miaka 30 nipo Dar es salaam, sijawahi kuona pera mahali popote pale. Vile vile kwenye safari zangu zote nilizowahi kufanya, mfano Dar- Mbeya, Dar- Arusha, Dar- Mwanza, n.k. sijawahi kupita mahali nikaona mapera yanauzwa. Sikumbuki mara ya mwisho nilikula pera lini. Je hapa Dar mapera yapo?Neno pera kwa kingereza linaitwaje
Hahaha ni "Flag would fly half mast"Kupandisha bendera nusu mlingoti kwa kiingereza! Kuna jamaa kaniacha hoi "the flag half way "
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Dar mbona yapo mengi sana tu,tena kariakoo yamejaaNina zaidi ya miaka 30 nipo Dar es salaam, sijawahi kuona pera mahali popote pale. Vile vile kwenye safari zangu zote nilizowahi kufanya, mfano Dar- Mbeya, Dar- Arusha, Dar- Mwanza, n.k. sijawahi kupita mahali nikaona mapera yanauzwa. Sikumbuki mara ya mwisho nilikula pera lini. Je hapa Dar mapera yapo?
GuavaNeno pera kwa kingereza linaitwaje
Pole
Hivi ulifukiria nini mkuu๐๐Linaitwa hardware Apple
Nilimzingua tuu,maana alishindwa kukatiza mitaa ya google akaja hukuHivi ulifukiria nini mkuu๐๐
Umenichekesha hardware apple dah๐๐๐Nilimzingua tuu,maana alishindwa kukatiza mitaa ya google akaja huku
Flying flag at half mastKupandisha bendera nusu mlingoti kwa kiingereza! Kuna jamaa kaniacha hoi "the flag half way "
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Guava
Siku zote nikawa najua kizungu chake ni MPERAPERAGuava
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Peramiho
GUAVANeno pera kwa kingereza linaitwaje