Ngoma ni bora sana kwenye long passe, pass za mita 10,15. Pass za kuvuka mistari ya wapinzani, anakupa faida ya mipira ya juu, kuzuia ama kushambulia, vision yake kwenye pass ni kubwa na accuracy yake iko juu pia, ana utulivu ni press resistant mzuri sana japo na debora nae ana sifa hii ila ngoma ni mzuri zaidi ya akipiga chemga moja anaachia mali sehemu salama, debora anaweza kufanya turn akataka kumrudia ampigechenga tena, ama atafanya turn ambayo hsina ulazima, ngoma ni mzuri sana, japo yupo mwishoni mwishoni mwa soka lake, anakupa msaada kwenye kuzuia, kuchezesha timu na kushambulia.
Debora zaidi ya zile skills zake, turn na zake, hana kingine cha maana, wakati ngoma anasugua, mimi ni mmoja ya watu ambao nilikuwa nasema wazi bado ngoma ni bora kwa viungo tulionao, labda waje wengine.
Debora anapiga sana sideway pass, na ni fupi fupi, wakati ngoma anaweza kupiva pass za kwenda mbele, tena ikipenetrate katikati ya wapinzani.
Debora ajifunze kwa ngoma ili awe bora.