Naomba kujua sababu ya Kiufundi kabisa ya Mavambo kuwa anaanzia Benchi na Ngoma kuanza First Eleven Simba SC

Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua kama tutapita au ndiyo imeisha hiyo kama Wavuvi wa Kigamboni.
Anzisha team yako umsajili Mavambo awe anaanza first 11. Ujuaji mwingi na hakuna ujualo!
 
Umenena vyema kabisa..Mavambo hata kama sijui mpira ila anapoteza sana pass...akijirekebisha ni moto wa kuotea mbali
Sio tu kupoteza pasi,afanye mazoezi kweli apate pumzi maana anaishiwa pumzi mapema sana.Aongeze kujiamini na kuongeza umakini akiwa na asipokua na mali.Akifanyia kazi yote hayo ataimbwa sana Msimbazi.
 
Mavambo anaonekana garasa mbele ya ngoma? Ngoma aliyekuwa anatajwa kufurushwa dirisha hili dogo la usajili. Deborah aliyeimbwa kana kwamba ndo LEONEL MESSI leo anawekwa benchi na okajepha. cha kujifunza ni kuwa
1. tuheshimu taaluma ya mtu,ngoma alionekana garasa,hamkujua kuwa anaweza kubadilika,mkampa debora ufalme.
2. bidii ktk kazi ngoma ni mfano hai.
3. sifa zinapoteza DEBORA amepotezwa na mashabiki au ubora alioimbwa nao ulikuwa batili.
YANGA BINGWA CAFCL ,NBC PL,CRDB FA CUP & MUUNGANO CUP.
 
Haukua na haja ya kujidhalilisha hapo kwenye herufi kubwa...
😆 😆 😆 😆
 
Mavambo sio mzuri kwenye passing accuracy kama Ngoma, Fadlu anapenda kiungo mmoja ahusike kwenye buildup
Sasa kama passing accuracy yako sio elite basi ukiporwa mipira ni umechoma

Ukiangalia Ngoma ana accuracy kubwa ya passing

Ni press resistant

Halafu pembeni anawekewa mvunja Kuni Kagoma

Kwahiyo Debora atasubiri sana
👍👍👍
 
Thanks,umeongea kiufundi zaidi
 
Back
Top Bottom