GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Shikamoo Mkuu hakika Wewe ni Mchambuzi hasa na hata Mpira unaujua pia vile vile. Nimekuelewa mno Asante.Mavambo sio mzuri kwenye passing accuracy kama Ngoma, Fadlu anapenda kiungo mmoja ahusike kwenye buildup
Sasa kama passing accuracy yako sio elite basi ukiporwa mipira ni umechoma
Ukiangalia Ngoma ana accuracy kubwa ya passing
Ni press resistant
Halafu pembeni anawekewa mvunja Kuni Kagoma
Kwahiyo Debora atasubiri sana
Plus hao wote hawawez kucheza pamoja wata disbalance team vile wanacheza similar rolesShikamoo Mkuu hakika Wewe ni Mchambuzi hasa na hata Mpira unaujua pia vile vile. Nimekuelewa mno Asante.
Nilikuaga?Umerudi?
Bado hajarudi Chief..Umerudi?
Shukran GentaShikamoo Mkuu hakika Wewe ni Mchambuzi hasa na hata Mpira unaujua pia vile vile. Nimekuelewa mno Asante.
Uko vizuri mno Kiuchambuzi. Unajua Mpira.Shukran Genta
Mkuu kama hujijui wewe ni Mheshimiwa, jitaidi kuficha upumbavu wako.Popoma, Happy New Year.
Usiniambie na hii ni ID yako! Maana mimi nimemtakia Heri ya Mwaka Mpya mdogo wangu Popoma! Ila hapo juu jina linasoma Konda wa bajaj, badala ya Popoma!Mkuu kama hujijui wewe ni Mheshimiwa, jitaidi kuficha upumbavu wako.
Kwa Siku kadhaa hapa nyuma mavambo hajawa timamu kama alivyokuwa awali ukimlinganisha na ngoma au kagoma yusuph ambao dual yao tunaona wazi inalipa kwenye kiungoNitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua kama tutapita au ndiyo imeisha hiyo kama Wavuvi wa Kigamboni.
Umenena vyema kabisa..Mavambo hata kama sijui mpira ila anapoteza sana pass...akijirekebisha ni moto wa kuotea mbaliMavambo sio mzuri kwenye passing accuracy kama Ngoma, Fadlu anapenda kiungo mmoja ahusike kwenye buildup
Sasa kama passing accuracy yako sio elite basi ukiporwa mipira ni umechoma
Ukiangalia Ngoma ana accuracy kubwa ya passing
Ni press resistant
Halafu pembeni anawekewa mvunja Kuni Kagoma
Kwahiyo Debora atasubiri sana
Dah nilisikia kuwa umekufa, Alhamdulilah upo hai.Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua kama tutapita au ndiyo imeisha hiyo kama Wavuvi wa Kigamboni.
leo GENTA kageuka kuwa chawa.Uko vizuri mno Kiuchambuzi. Unajua Mpira.