Naomba kujua sababu za kukatika kwa nywele na ni njia ipi au mafuta yapi inapaswa kutumia ili kuzuia?

Naomba kujua sababu za kukatika kwa nywele na ni njia ipi au mafuta yapi inapaswa kutumia ili kuzuia?

the blue sky

Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
24
Reaction score
18
Habarini wana JF.Naomba kujua sababu za kukatika kwa nywele na ni njia ipi au mafuta yapi inapaswa kutumia ili kuzuia kukatika kwa nywele na kusaidia nywele kuota vizuri?
 
Tumia castrol oil na mafuta ya nazi ila yawe virgin yaani yasiopikwa yawe yamesindikwa
 
Jamn na mm nishaurini nilifanya body dry, nywele zangu zinakatika hatr. nisaidien nifanyaje wakuu
 
Usi
Jamn na mm nishaurini nilifanya body dry, nywele zangu zinakatika hatr. nisaidien nifanyaje wakuu
Usifanye brow dry inakata nywele na kwa Maelezo zaid kuhusu utunzaji wa nywele follow page ya letsgonaturaltz instagram
 
Back
Top Bottom