Naomba kujua sehemu nzuri za kuinjoi Zanzibar

Naomba kujua sehemu nzuri za kuinjoi Zanzibar

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Wadau Heri ya Christmas

Msimu huu wa sikukuu kila mtu anapenda kwenda sehemu kusheherekea sikukuu

Na mimi nimejipanga mwaka mpya niende Zanzbar kula mwaka mpya

Naombeni mnitajie maeneo mazur ya kwenda kutembelea na kurefresh mund lakin yasiwe ya bei ghari

Sisi watu wa Mbagala tushazoea vya bei chee

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuinjoy sio lazima beach/hotel nzuri unaweza hata kwenda blue safaris, kitesurfing kule paje beach nazo ni enjoyment

Unaweza kwenda hata kkoo kupanda roller coaster
 
Kuinjoy sio lazima beach/hotel nzuri unaweza hata kwenda blue safaris, kitesurfing kule paje beach nazo ni enjoyment

Unaweza kwenda hata kkoo kupanda roller coaster

Beaches za makerere nungwi areas lakini sehemu tulivu, matemwe , paje, michamvi, hutajuta
 
Beaches za makerere nungwi areas lakini sehemu tulivu, matemwe , paje, michamvi, hutajuta
Kweli hata bwejuu japo paje wana beach nzuri zaidi

Nungwi bata sana mpaka wauzaji wamejsa[emoji38]
 
Ukifanikiwa kwenda basi ujitahidi ukauonje na urojo, binafsi nimeuona tu kwenye picha ila nikaapa kutokuja kula.
 
Kama hujawahi kwenda Zanzibar huna haja ya kusema unaenda sehemu specific. Kamji kote ka Zanzibar ni burudani kukatembelea.

Sasa itategemea utaenda siku moja au unaenda na kukaa siku kadhaa.

Kama unaenda siku moja we nenda zako Asubuhi unafika pale kama saa 3 unazurura zurura picha picha kidogo by saa 10 unageuka na KLM VI.

Kama unalala siku moja au zaidi. Ni vema umtafute mwenyeji akufanyie mchakato mahala pa kulala maana ukijifanya mzungu kusearch Google cheapest utapata ya Elfu 50 ambayo huku Dar ni sawa na ya Elfu 10. Hotel na Lodge nyingi kule Laki 1 hadi na nusu. Hafu kuna izo hadi za Laki 4 aisee. Mtu unalipa Laki 4 kwa siku? Ukilala unachagua ndoto? Dah umasikini mbaya sana.

Ila ukienda Zanzibar kama nia ukapumzike ebu kua offline. Beba tu simu ya emergency incase ikitokea issue. Au ya kupigia picha.

Mi nilienda nikakaa 2 days nikitumia chini ya Laki 3 pamoja na usafiri (nilikua mimi na mwenza wangu).
 
Forodhani by night, mchana pita pita stone town utaenjoy sana hotel ni gharama sana hata zile cheap ambayo ni dollar 25 per head ni hovyo kama za tandale Dar ambayo ni sh. Elfu 10 nakama mpo na mwenza wako inakua dollar 50.
Ukijibana sana usiwe chini ya laki 4 kwa siku tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom