Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Tayari nina vipimo vya dakitari vya macho yangu. Hivi kwanini miwani ya macho inauzwa bei ghari! Nimetembelea maduka kadhaa ya miwani bei sio chini ya 600,000. Wapi wanauza bei iliyopoa?
Nenda macho kule kama unaelekea koko karibu na hospitali ya CCBRT , hapo nje kuna sehemu nyingi wanauza miwani.Tayari nina vipimo vya daktari vya macho yangu. Hivi kwanini miwani ya macho inauzwa bei ghali? Nimetembelea maduka kadhaa ya miwani bei sio chini ya 600,000.
Wapi wanauza bei iliyopoa?
Weee! Miwani kwa 60,000? Duka gani hilo? Au sunglassesSi chini ya 600K?ama ulimanisha 60K?
Kama upo Dar nenda hata mnazi mmoja hospital
Ndio vipimo ninavyo! Niko Dar! Ni PM please!uko wapi mkuu, vp nikuunganishe na mshikaji wangu Burundi kule bei simpo sana, vipimo si unavyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio vipimo ninavyo! Niko Dar! Ni PM please!
Bei kubwa sana hata hapo! Kuna miwani inayoweza kuendana na vipimo lakini kanjanja! Muwani hata ukidondoka toka juu ya coffee table hadi chini lenzi inapasuka au ukiifuta tu na kidole au kitamba lenz inakwaruzika!Nenda macho kule kama unaelekea koko karibu na hospitali ya CCBRT , hapo nje kuna sehemu nyingi wanauza miwani.
Siongelei miwani ya urembo au miwani ya jua! Naongelea medical glasses! Eye glasses! Kwamfano naanza kuexperience long site nikaenda hospital nikafanyiwa vipimo na kupewa namba ya aina ya lenz. Unaenda kwenye duka la eye medical glasses watakachokuomba ni namba ya lens kutoka kwa dakitari. Wataenda kwenye store au database na kuangalia wakiona wanayo wanakupa. Kama hakuna unalipia %fulani unaagiziwa. Hiyo miwani bei.Pale Posta Mpya na Clock Tower kuna jamaa wamepanga miwani mingi sana hapo nje, ya aina zote kuanzia TShs. elfu tano hadi elfu kumi tu, yenye fremu nzuri ndiyo elfu kumi na tano kuendelea. Ila lensi zake ni mwaka mmoja zinaishiwa nguvu. Ni ya kutoka China na Taiwan. Miwani yenye viwango niyo hiyo kuko ulikotajiwa hayo malaki...
Kutokana na gharama ya hizi miwani bima ya taifa NHIF hazimo! Miwani ya macho haiko covered na NHIF kwasababu ya gharama!Halafu eti Bima ya afya NHIF wanalipa 20,000/- hebu oneni jamani [emoji848][emoji848]
Yani inachosha mpaka basi.
Lakini wao wanajilipa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bei inasomeka! Umekaa na hiyo miwani muda gani?Nenda Vision plus for eye clinic wapo shoppers plaza Mikocheni, bei zao ni nafuu sana. Mimi nilikwenda hapo checkup charge ilikuwa Tsh. 20,000/= na miwani nililipia Tsh. 150,000/= na chanzo cha kupajua hapo Bima yangu inalipa kwenye tatizo la macho si zaidi ya Tsh. 180,000/= sasa kila nikizunguka kwenye Eye clinic gharama zipo juu ndio nikaelekezwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee! Miwani kwa 60,000? Duka gani hilo? Au sunglasses
Huu ni mwaka wa tatu na haina tatizo lolote.Hiyo bei inasomeka! Umekaa na hiyo miwani muda gani?
Burundi ni bei gani mkubwauko wapi mkuu, vp nikuunganishe na mshikaji wangu Burundi kule bei simpo sana, vipimo si unavyo?
Sent using Jamii Forums mobile app