The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 491
Mkuu ulipata miwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Hakuna bei km Hiyo BN ww ulitaka kupigwa Tu nichek hapa nkutengenezeee miwan bei ndogo Tu 0776371092Tayari nina vipimo vya daktari vya macho yangu. Hivi kwanini miwani ya macho inauzwa bei ghali? Nimetembelea maduka kadhaa ya miwani bei sio chini ya 600,000.
Wapi wanauza bei iliyopoa?
Mkuu pole na changamoto Yako. Mimi pia nina uzoefu nalo ambacho huwa nafanya ni ukishapima na kupewa vipimo vyako unaenda kwenye maduka yanayouza miwani ya kawaida(kule huwa Kuna frames nzuri zaidi ya hata hizo wanazouza watu wa miwani ya macho).Siongelei miwani ya urembo au miwani ya jua! Naongelea medical glasses! Eye glasses! Kwamfano naanza kuexperience long site nikaenda hospital nikafanyiwa vipimo na kupewa namba ya aina ya lenz. Unaenda kwenye duka la eye medical glasses watakachokuomba ni namba ya lens kutoka kwa dakitari. Wataenda kwenye store au database na kuangalia wakiona wanayo wanakupa. Kama hakuna unalipia %fulani unaagiziwa. Hiyo miwani bei.
Nakumbuka kuna jamaa kwa kutojua alivunja miwani ya jamaa yangu kimasiala akadhani ndo hizo unazozisema! Alikamatwa kawekwa ndani! Kutajiwa bei 1.2mil. Ikabidi wazazi wajichange! Don't mess up with eye medical glasses!
Njoo wasap nkutumie frames na garam bei nafuu Tu 0776371092 ukitaka kioo cha plastic fresh ukitaka lens fresh ni uaminifu Tu cha msingi njoo na vipimoMkuu pole na changamoto Yako. Mimi pia nina uzoefu nalo ambacho huwa nafanya ni ukishapima na kupewa vipimo vyako unaenda kwenye maduka yanayouza miwani ya kawaida(kule huwa Kuna frames nzuri zaidi ya hata hizo wanazouza watu wa miwani ya macho).
Unachagua frame Yako unayotaka unanunua then unaenda kwenye maduka ya macho unawaambia wakutengenezee lense inayoendana na size ya frame Yako.
Kazi kwisha.