Naomba kujua sehemu ya kupata miwani ya macho kwa bei nafuu

Tayari nina vipimo vya daktari vya macho yangu. Hivi kwanini miwani ya macho inauzwa bei ghali? Nimetembelea maduka kadhaa ya miwani bei sio chini ya 600,000.

Wapi wanauza bei iliyopoa?
🤣🤣🤣🤣 Hakuna bei km Hiyo BN ww ulitaka kupigwa Tu nichek hapa nkutengenezeee miwan bei ndogo Tu 0776371092
 
Mkuu pole na changamoto Yako. Mimi pia nina uzoefu nalo ambacho huwa nafanya ni ukishapima na kupewa vipimo vyako unaenda kwenye maduka yanayouza miwani ya kawaida(kule huwa Kuna frames nzuri zaidi ya hata hizo wanazouza watu wa miwani ya macho).
Unachagua frame Yako unayotaka unanunua then unaenda kwenye maduka ya macho unawaambia wakutengenezee lense inayoendana na size ya frame Yako.
Kazi kwisha.
 
Njoo wasap nkutumie frames na garam bei nafuu Tu 0776371092 ukitaka kioo cha plastic fresh ukitaka lens fresh ni uaminifu Tu cha msingi njoo na vipimo
 
kama kuna mtu anahitaj miwan mcheki jamaa 0776371092 anatengeneza miwan yote kuna kong site na short site pia ya kusomea kwa wazee na pia wale wa bifocal plastic anatengeneza kwa 60,000 pia kioo 50,000 na miwan ya kusomea 7000 na cases kwa ajili ya miwan 6000 pia kuna miwan inaitwa bifocal anatengeneza kwa 100,000 tu frames anazo ila vipimo itabid uwe navyo pia nmesahau cylinder anachonga jamani kwa bei nafuu tu na rimless na half rim pia wale wenye wale wa myope -2.00,-1.00,-0.5,-0.25,-3.00 ............. na kwendelea pia kuna wale wa{ hyperope}+0.25,+0.5+0.75,+1.00+1.25+1.50,+2.00,...................... na kwendelea pia miwan ya kusomea kuna +1.00,+1.50,+2.00,+2.50,+3.00 ..................................... nakwendelea pia kwa wale wanaohitaj blue cut ama blue block ambao wana shida na mwanga miwan ipo jmn bei nafuu 40000 tu.
 

Attachments

  • Screenshot 2024-12-02 105801.png
    197.1 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-02 105848.png
    269.3 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-02 105935.png
    272.8 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-02 110011.png
    243.1 KB · Views: 2
  • Screenshot 2024-12-02 110051.png
    276.8 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-02 110121.png
    377.9 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-02 110156.png
    321.8 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-30 055924.png
    168.8 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-12-30 060051.png
    164 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…