Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama

Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama

Google na tafuta Shule za karibu na ulipo zinazofundishwa watoto wenye uhitaji maalumu.

Hilo ni moja ya somo wanalofundishwa.
 
Tafuta shule yenye watoto viziwi hapo lazima kuna walimu walisoma Elimu maalum. Ongea na mwalimu wa viziwi akufundishe umlipe kifuta jasho
 
Rudi chekechea kwanza kajifunze kuandika.

Kabla hujajifunza hiyo lugha ya alama, kajifunze kwanza kuandika vizuri.
 
Back
Top Bottom