Salaam Wakuu!
Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service.
Sasa Basi Wataalamu naombeni ushauri natakiwa nifanye Service ya Kipi na kipi lengo ni Kutaka Kuzimaintain Services nitazokuwa nazifanya ili nikatunze ka IST haka. Na naomba Zaidi kama Uwezekano upo wa Analysis ya gharama za hizo Service. Nitamshukuru saana kwa Ushauri wenu wa Kitaalamu.
Ahsanteni.
Ahsante kwa Kunifungua Akili kwenye hii Kitu.Hongera sana mkuu! Cha msingi fanya service ya kawaida yani badili engine oil,coolant,gear box oil(sio lazima sana) na vitu vidogo vidogo.Jambo la muhimi isipeleke ovyo gereji za mtaani tafuta fundi mzuri gari itafumu
Mkuu hiki ni kituo cha mafuta au ni garage?Kama pesa sio tatizo nenda total gas station uwaambie unataka service, unaweza ukafanya hivyo kwa mara ya kwanza kwa kuwa umeitoa kwa mtu, halafu baada ya hapo itunze wewe mwenyewe vizuri unatafuta fundi wako wa kawaida tu
Ahsante kwa Mawazo Mazuri Mkuu.Kama pesa sio tatizo nenda total gas station uwaambie unataka service, unaweza ukafanya hivyo kwa mara ya kwanza kwa kuwa umeitoa kwa mtu, halafu baada ya hapo itunze wewe mwenyewe vizuri unatafuta fundi wako wa kawaida tu
Mkuu ni hicho hicho kituo cha mafuta ila wanfanya service za gari bila shida yoyote, kwa gari common kama toyota wanaweka kila kitu sawa, sina uhakika kwa gari lesser common kama watakuwa na ujuzi huo. Tatizo kwa walioenda wengi huwa wanalalamika gharama zao zipo juu ukilinganisha na kama ukiwa na fundi ama garage ya mtaani ambayo mnaelewana, lakini sijawahi kusikia mtu akilalamikia quality ya service yao.Mkuu hiki ni kituo cha mafuta au ni garage?
Shukrani mkuu!Mkuu ni hicho hicho kituo cha mafuta ila wanfanya service za gari bila shida yoyote, kwa gari common kama toyota wanaweka kila kitu sawa, sina uhakika kwa gari lesser common kama watakuwa na ujuzi huo. Tatizo kwa walioenda wengi huwa wanalalamika gharama zao zipo juu ukilinganisha na kama ukiwa na fundi ama garage ya mtaani ambayo mnaelewana, lakini sijawahi kusikia mtu akilalamikia quality ya service yao.
View attachment 1797929
Hatimae baada ya miezi michache hii gari ikachukua uhai wako. RIP NdikwegaSalaam Wakuu!
Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service.
Sasa Basi Wataalamu naombeni ushauri natakiwa nifanye Service ya Kipi na kipi lengo ni Kutaka Kuzimaintain Services nitazokuwa nazifanya ili nikatunze ka IST haka. Na naomba Zaidi kama Uwezekano upo wa Analysis ya gharama za hizo Service. Nitamshukuru saana kwa Ushauri wenu wa Kitaalamu.
Ahsanteni.
Inaeza kuja chukua uhai wako piaHatimae baada ya miezi michache hii gari ikachukua uhai wako. RIP Ndikwega
Hata wako pia mkuu. Ajuae molaInaeza kuja chukua uhai wako pia
Jamaa alifariki kwa ajali ya gari?Hatimae baada ya miezi michache hii gari ikachukua uhai wako. RIP Ndikwega
Ndio mkuu.Jamaa alifariki kwa ajali ya gari?
Duuh!Hatimae baada ya miezi michache hii gari ikachukua uhai wako. RIP Ndikwega