SA is just another shithole coundry. Jakob Zuma darasa la nne anakua rais ?FNB is the leading bank in Tanzania interms of technology. Actually is the second largest in South Africa after Standard Bank which here in Bongo treads as Stanbic Bank
Upo sahihi.FNB is the leading bank in Tanzania interms of technology. Actually is the second largest in South Africa after Standard Bank which here in Bongo treads as Stanbic Bank
Mkiwa na Katiba nzuri any fool can be a president. Rais wa South Africa hana nguvu za kufanya anavyotaka na mbele ya Bunge ni hadhi yake ni kama wabunge wengine tuSA is just another shithole coundry. Jakob Zuma darasa la nne anakua rais ?
Kuuana nje nje.
Yule dogo sasa ndio rais ajaye.
Rushwa nje nje.
Ukatili wa kijinsia usiseme
The thing is. It can be as wise as India but for me, it is a NO go areaMkiwa na Katiba nzuri any fool can be a president. Rais wa South Africa hana nguvu za kufanya anavyotaka na mbele ya Bunge ni hadhi yake ni kama wabunge wengine tu
Issue ya kiwango kikubwa cha uhalifu ni kutokana na historia yake kama ilivyo kwa Kenya na hata Brazil kwa mfano
Ukatili wa kijinsia ni kweli upo lakini katika makosa ambayo yanachukuliwa ni makosa makubwa kwa sheria za nchi hiyo ni pamoja na ukatili wa kijinsia. Lakini ni kweli pia sheria peke yake haziwezi kumaliza uhalifu inabidi kufanya mapinduzi ya kiutamaduni pia
Rushwa ipo South Africa lakini sio kwa kiwango cha kutisha sana. Aidha angalau vita hiyo inapiganwa na inaoneka kua inapiganwa. Hata Rais hayuko juu ya sheria kwani anaweza kuchunguzwa na vyombo vya serikali na akaitwa kuhojiwa na mamlaka husika ikiwemo bunge jambo ambalo hapa kwetu haliwezekani
Upo sahihi kabisa kiongozi wanguFNB bank tamu sana hii.
Huduma zake ni first class. Wateja tupo wachache sana. Ukipata tatizo unampigia meneja kabisa anakutatulia within 2 minutes.
Wanawapigia wateja wao kila mara kuangalia wapi wanakwama na jinsi ya kuimprove.
Ukiingia tawi lao unaweza jikuta peke yako sio CRDB mnaitana kwa namba kama mpo clinic.
Kadi zao ukipewa tayari unaanza online transaction, sio CRDB hadi uandike barua ya maombi (primitive).
Wanafunga matawi kutokana na mtikisiko wa uchumi. Ila FNB ni moja ya benki bora kabisa Tz ukijumlisha Barclays na Standard Chartered Bank.
Mkuu ukiweka 100k account ikiwa open si una ruhusiwa kuchomoa au hiyoo ndo account protection.bonge moja la bank
nenda na barua ya serikali za mitaa na id yako
plus 100k ya initial deposit kwa saving acc.
chap unapata acc.crdb wanazingua bora hata nmb tena
FNB wanafunga wewe unakwenda huko huko?
FNB wanafunga wewe unakwenda huko huko?
Nashukuru mkuu. Vipi hawana makato mkubwa kama bank nyingine