Naomba kujua sifa za FNB

Naomba kujua sifa za FNB

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari wakuu, nimekuja hapa kwenu nina changamoto moja kubwa sana. Hasa katika kufanya miamala online, nimefungiwa na CRDB sijui kwa nini ila sitaki kujua. Maana kutuma naweza ila, kuingiza siwezi.

Ombi langu nimeona baadhi ya sifaa kadhaa na hii Bank sijajua kama iko Tanzania ila kikubwa kwangu ni kufanya miamala bila usumbufu wala tatizoo lolote.

Na kama basi hiyo bank hainifaii naomba uniambiee ilio na afadhalii yenye gharama nafuu na bila usumbufuu. Maana kama mateso yana toshaaa. CRDB sio watu wa mchezo mchezo. Nimechoka usumbufu kwa ku verify card kila dakika. Kufungiwa. Pesa kuchelewa.
 
We umetumwa wewe kuichafua crdb sio bure
Kama umekwama si ofisi kwao wakutatulie tatizo lako
 
FNB is the leading bank in Tanzania interms of technology. Actually is the second largest in South Africa after Standard Bank which here in Bongo treads as Stanbic Bank
 
bonge moja la bank
nenda na barua ya serikali za mitaa na id yako
plus 100k ya initial deposit kwa saving acc.
chap unapata acc.crdb wanazingua bora hata nmb tena
 
SA is just another shithole coundry. Jakob Zuma darasa la nne anakua rais ?
Kuuana nje nje.
Yule dogo sasa ndio rais ajaye.
Rushwa nje nje.
Ukatili wa kijinsia usiseme
 
FNB bank tamu sana hii.

Huduma zake ni first class. Wateja tupo wachache sana. Ukipata tatizo unampigia meneja kabisa anakutatulia within 2 minutes.

Wanawapigia wateja wao kila mara kuangalia wapi wanakwama na jinsi ya kuimprove.

Ukiingia tawi lao unaweza jikuta peke yako sio CRDB mnaitana kwa namba kama mpo clinic.

Kadi zao ukipewa tayari unaanza online transaction, sio CRDB hadi uandike barua ya maombi (primitive).

Wanafunga matawi kutokana na mtikisiko wa uchumi. Ila FNB ni moja ya benki bora kabisa Tz ukijumlisha Barclays na Standard Chartered Bank.
 
Mkiwa na Katiba nzuri any fool can be a president. Rais wa South Africa hana nguvu za kufanya anavyotaka na mbele ya Bunge ni hadhi yake ni kama wabunge wengine tu

Issue ya kiwango kikubwa cha uhalifu ni kutokana na historia yake kama ilivyo kwa Kenya na hata Brazil kwa mfano

Ukatili wa kijinsia ni kweli upo lakini katika makosa ambayo yanachukuliwa ni makosa makubwa kwa sheria za nchi hiyo ni pamoja na ukatili wa kijinsia. Lakini ni kweli pia sheria peke yake haziwezi kumaliza uhalifu inabidi kufanya mapinduzi ya kiutamaduni pia

Rushwa ipo South Africa lakini sio kwa kiwango cha kutisha sana. Aidha angalau vita hiyo inapiganwa na inaoneka kua inapiganwa. Hata Rais hayuko juu ya sheria kwani anaweza kuchunguzwa na vyombo vya serikali na akaitwa kuhojiwa na mamlaka husika ikiwemo bunge jambo ambalo hapa kwetu haliwezekani
 
The thing is. It can be as wise as India but for me, it is a NO go area
 
FNB bank tamu sana hii.

Huduma zake ni first class. Wateja tupo wachache sana. Ukipata tatizo unampigia meneja kabisa anakutatulia within 2 minutes.

Wanawapigia wateja wao kila mara kuangalia wapi wanakwama na jinsi ya kuimprove.

Ukiingia tawi lao unaweza jikuta peke yako sio CRDB mnaitana kwa namba kama mpo clinic.

Kadi zao ukipewa tayari unaanza online transaction, sio CRDB hadi uandike barua ya maombi (primitive).

Wanafunga matawi kutokana na mtikisiko wa uchumi. Ila FNB ni moja ya benki bora kabisa Tz ukijumlisha Barclays na Standard Chartered Bank.
Upo sahihi kabisa kiongozi wangu
 
bonge moja la bank
nenda na barua ya serikali za mitaa na id yako
plus 100k ya initial deposit kwa saving acc.
chap unapata acc.crdb wanazingua bora hata nmb tena
Mkuu ukiweka 100k account ikiwa open si una ruhusiwa kuchomoa au hiyoo ndo account protection.
 
FNB wanafunga wewe unakwenda huko huko?

Banks nyinggi zinapunguza branch kwa sababu ya kukuwa kwa matumizi ya mtandao...SCB ikiongoza kwa transaction zao nyingi zikimalizwa online so branch chache
 
Mbona Mpesa siku hizi wamerahisisha kufanya manunuzi/ miamala kwa Visa bila usumbufu?

Kwangu SCB ndio benki bora kwa kuzingatia aina ya akaunti yangu. Hakuna makato ya kila mwezi, natozwa pale nnapofanya muamala. Naweza kubakisha salio la zero.
 
Back
Top Bottom