Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Mimi miaja kadhaa nafanya na barcklYs haijawai niletea usumbufu hata kidogohabari wakuu nimekuja hapa kwenu nina changamoto moja kubwa sana.
Hasa katika kufanya miamala online, nimefungiwa na hii bank ya crdb sijui kwa nini ila sitaki kujua.
Maana kutuma naweza ila,kuingiza siwezi.
Ombi langu nimeona baadhi ya sifaa kadhaa na hii bank sijajua kama iko tanzania ila kikubwa kwangu ni kufanya miamala bila usumbufu wala tatizoo lolotekl.
Na kma basi hiyo bank hainifaii naomba uniambiee ilio na afadhalii yenye gharama nafuu na bila usumbufuu.
Maana kama mateso yana toshaaa.
crdb bank sio watu wa mchezo mchezo.
Siku za hivi karibuni nimeanza kutumia pia Equity nao hawako vibaya...