Naomba kujua sifa za FNB

Naomba kujua sifa za FNB

habari wakuu nimekuja hapa kwenu nina changamoto moja kubwa sana.

Hasa katika kufanya miamala online, nimefungiwa na hii bank ya crdb sijui kwa nini ila sitaki kujua.

Maana kutuma naweza ila,kuingiza siwezi.

Ombi langu nimeona baadhi ya sifaa kadhaa na hii bank sijajua kama iko tanzania ila kikubwa kwangu ni kufanya miamala bila usumbufu wala tatizoo lolotekl.

Na kma basi hiyo bank hainifaii naomba uniambiee ilio na afadhalii yenye gharama nafuu na bila usumbufuu.

Maana kama mateso yana toshaaa.

crdb bank sio watu wa mchezo mchezo.
Mimi miaja kadhaa nafanya na barcklYs haijawai niletea usumbufu hata kidogo
Siku za hivi karibuni nimeanza kutumia pia Equity nao hawako vibaya...
 
Maana kutuma naweza ila,kuingiza siwezi.
Ombi langu nimeona baadhi ya sifaa kadhaa na hii bank sijajua kama iko tanzania ila kikubwa kwangu ni kufanya miamala bila usumbufu wala tatizoo lolotekl.
Maana kama mateso yana toshaaa.
Kwa muktadha huu hakikisha unakuwa na account benki tatu tofauti

Napendekeza hizi.
- FNB
- Equity &
- BankABC

Vigezo
- Bavaria kagusia hapo juu, benki zote tatu hizo nilizotaja wanahuduma nzuri kwa mteja hasa ukiwa na tatizo, Ni rahisi kuongea direct na mtu wa department husika na wananyenyekea sana pindi wanapokuhudumia.

- Kupokea fedha.
Ndani ya saa 24 hadi 72 unapokea fedha yako.
Iwapo muamala ni mkubwa zaidi in terms of $, na wataka kutoa kwa mara moja basi ni vyema ukafanya mawasiliano na watakupa mwongozo.
 
natozwa pale nnapofanya muamala
Kwa tuanaofanya miamala online kila siku, Charges ya mwezi ukijumlisha makato ya kila muamala, huwa sio chini ya TZS 120,000 hadi 250,000

Hivyo benki kama FNB ambao wanatoa account yenye malipo fixed kwa mwezi TZS 16,000 ndio inatufaa zaidi. Nazungumzia Gold Cheque Account.
 
Mkuu ukiweka 100k account ikiwa open si una ruhusiwa kuchomoa au hiyoo ndo account protection.
Ndio, ni fedha yako. Ila bakiza sio chini ya TZS 17,000 katika account yako hasa kama utafungua Gold Cheque Account ( Napendekeza hiyo )
 
Kwa tuanaofanya miamala online kila siku, Charges ya mwezi ukijumlisha makato ya kila muamala, huwa sio chini ya TZS 120,000 hadi 250,000

Hivyo benki kama FNB ambao wanatoa account yenye malipo fixed kwa mwezi TZS 16,000 ndio inatufaa zaidi. Nazungumzia Gold Cheque Account.

Haifiki hicho kiasi mkuu. Hii nnaitumia kwa miamala isiyozidi kumi kwa mwezi.

Bado nnapewa na cheque book.
 
Haifiki hicho kiasi mkuu.
Kwa upande wangu mimi binafsi hufika, rejea nilicho andika hapo juu, na benki wenyewe ndio walinishauri kutumia account ya makato ambayo ni fixed kwa mwezi, maana awali nilikuwa na ccount ambayo makato ni kutokana na kiasi cha muamala unaofanyika.
 
Na hapo ndio umuhimu wa kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kufungua akaunt kuona kama inakidhi mahitaji yako.

SCB ni akaunti ya mshahara.
Barclays, saving.
Equity USD (hawana gharama za kila mwezi na makato kwa transaction madogo sana)
CRDB kushiriki kikamilifu SACCOS na pesa zisizo rasmi kwa kuwa wapo mikoa karibia yote.
 
bonge moja la bank
nenda na barua ya serikali za mitaa na id yako
plus 100k ya initial deposit kwa saving acc.
chap unapata acc.crdb wanazingua bora hata nmb tena
Mikopo wanatoa?
 
Kwa muktadha huu hakikisha unakuwa na account benki tatu tofauti

Napendekeza hizi.
- FNB
- Equity &
- BankABC

Vigezo
- Bavaria kagusia hapo juu, benki zote tatu hizo nilizotaja wanahuduma nzuri kwa mteja hasa ukiwa na tatizo, Ni rahisi kuongea direct na mtu wa department husika na wananyenyekea sana pindi wanapokuhudumia.

- Kupokea fedha.
Ndani ya saa 24 hadi 72 unapokea fedha yako.
Iwapo muamala ni mkubwa zaidi in terms of $, na wataka kutoa kwa mara moja basi ni vyema ukafanya mawasiliano na watakupa mwongozo.
Kitu nakukubali ni kwenye maelezo uko safi huachii kitu nyuma.
 
Ndio, ni fedha yako. Ila bakiza sio chini ya TZS 17,000 katika account yako hasa kama utafungua Gold Cheque Account ( Napendekeza hiyo )
So mkuu nikienda ni moja kwa moja naomba nifungue golden chq account. Maana naona kuna saving account tena kama sijakosea.
 
MWINGINE WENYE ACCOUNT EQUITY BANK

AMBAEE ANAFANYA WITHDRAW NA KU DEPOSIT ONLINE.
 
Back
Top Bottom