Zina chemchemi ndani yake kwamba haziunguzi chakula? Hizo ni lugha za wafanyabiashara tu, na kuwanasa wanaopenda "vitu vya tofauti"Habari wakuu.
Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.
Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa zako.
Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kunitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot.
Wanasema kuwa haziunguzi chakula. Kuna ukweli ndani yake au lah?
Vipi kuhusu usalama kiafya ukizingatia material yake.
Asanteni
Teflon ni sumu mbaya ambayo ilikuwa inatumika kwenye vitu vingi kuvifanya water proof mfano sufuria za non stick,bati za nyumba,rangi za magari etc. Kwa sasa wanasema kila bidamu ana kiwango cha teflon mwilini.Elezea kidogo mkuu
Kwahiyo huo utofauti ndio umeona uweke non stick pots? Hizi mbona karibu nyumba ziko sahiviNatamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo
Zipo ambazo waweza epua jikoni na kuiweka mezani as serving bowl… na zipo non stick ya sufuria tuMoja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kunitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot
Non stick pans ''zimepakwa'' layer maalum ya material iloi kuzifanya ziwe salama na rahisi kwenye mapishi. Usalama kwa maana ya kuwa kuna vyakula vinavyoweza kuwa na vitu kama acid vinavyoweza ku-react na sufuria na kuetengeneza chemicals harari zinapochanganyika na vyakula. Na rahisi kwa sababu unaweza kupika vyakula vinavyonata-nata kwa urahisi zaidi.Habari wakuu.
Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana.
Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa zako.
Moja ya kitu nachotaka kujua ni kama naweza kunitumia kama sufuria lakini pia kama hotpot.
Wanasema kuwa haziunguzi chakula. Kuna ukweli ndani yake au lah?
Vipi kuhusu usalama kiafya ukizingatia material yake.
Asanteni
Please recommend hizi ikiwezekana na picha pia. Nataka hizi ambazo ukitoa jikoni ni mezani Moja Kwa Moja ili kupunguza makorokoro mengiZipo ambazo waweza epua jikoni na kuiweka mezani as serving bowl… na zipo non stick ya sufuria tu
Asante sana. Hapa Sasa ndio nimeelewa maana nilikua nashindwa hapo kwenye beiSikia,ukitaka sufuria bora zingatia na bei. Sufuria yoyote (set) chini ya 250K sio. Andaa kuanzia hapo 250K hadi 900K huko zipo.
Na zilizo bora ni stainless steel, granite, cast iron n.k.
Binafsi napenda masufuria kuliko chochote jikoni.
Inategemea na ulipo… mm niliuziwa 270K, mkoani. Kkoo ya Dar yaweza kushukaPlease recommend hizi ikiwezekana na picha pia. Nataka hizi ambazo ukitoa jikoni ni mezani Moja Kwa Moja ili kupunguza makorokoro mengi
Nakuja kubeba mwaya[emoji3059]Sikia,ukitaka sufuria bora zingatia na bei. Sufuria yoyote (set) chini ya 250K sio. Andaa kuanzia hapo 250K hadi 900K huko zipo.
Na zilizo bora ni stainless steel, granite, cast iron n.k.
Binafsi napenda masufuria kuliko chochote jikoni.
Yani mimi ni chizi masufuria, kila aina ninayo ila simpi yeyote zaidi ya mama yangu, LolNakuja kubeba mwaya[emoji3059]