Naomba kujua sifa za sufuria za non stick

Sizipendi haziweki UKOKO ukipika wali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Non stick fry pan ni nzuri, mi natumia kukaanga mayai, chapati ya Mchele au chapati maji, chapati ya kawaida, bila kuweka mafuta na zinatoka vizuri, kwa wale wasiopenda mafuta Kama Mimi ni nzuri kupikia vitu hivyo.
 
Sizipendi haziweki UKOKO ukipika wali

Sent using Jamii Forums mobile app
Na raha ya wali asubuhi uamkie kiporo chenye ukoko a.k.a carpet(enzi hizo chuo cha mipango kwa mama mjeshi unanunua ukoko kabla hata hajapika wali alafu unazama class kugonga pindi ukitoka unakuwa na chupa ya maji masafi unazama toilet una-download maji direct kwa mama mjeshi kuchukua order yako
 
Hebu toeni picha ya sufuria ya teflon. Tuwahi huko home tuombe wife akague.
 
Mara nyingi zinakuwa nyeusi ndani kama hizi

View attachment 2777020

Achana nazo kabisa, nunua tu za kawaida kama hizi👇
View attachment 2777021
Kuna frying pan zina rangi kama Shaba ndani. Nazo hizi ni vipi? Kuna Moja nimekutana nayo leo imeandikwa healthy cooking. Nina moja ya Shaba kind of kwa ndani ya mstatili nilinunua mahali ila naona haipendwi kutumia home Sana kama hizi nyingine
 
Haya masufuria yamekuwa mengi sana Hadi yanachanganya. Kila rangi ipo aisee
 
Haya masufuria yamekuwa mengi sana Hadi yanachanganya. Kila rangi ipo aisee
Fake yapo kibao mkuu...ukitaka og Sana nenda supermarket kubwa masaki na Samora...kuna za Professional na Tefal my favourite brand...
Mfuko uwe vizuri Sana kununua hizo uwe na 300 na zaidi
 
Barikiwa Sana Mkuu. Taken with care. Much appreciated.
 

Kwa upande wangu faida zake ni tatu

Hazigandishi chakula
Haziunguzi chakula
Nikiosha ni rahisi manake chakula hakigandi
 
Zina chemchemi ndani yake kwamba haziunguzi chakula? Hizo ni lugha za wafanyabiashara tu, na kuwanasa wanaopenda "vitu vya tofauti"

Mimi si mfanyabiashara ila nimtumiaji suala la kutounguza ni kweli haizunguzi chakula kitachemka mpaka kikauke huezi kuta kina ukoko wa kuungua labda uichune na upate original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…