Naomba kujua tafadhali

BUSTER

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Posts
254
Reaction score
67
Poleni kwa majukum wadau naomba kujua club yenye mafanikio tz kimataifa kwa mpira wa miguu natanguliza aksante
 
Simba nusu final klabu bingwa 1974, kombe la caf fainal 1993, robo klabu bingwa 2003...
 
mafanikio yetu sish kwa kweli yapo kwenye mapenzi tu lkn kwenye mpira labda miaka 2000 ijayo.
 
Simba nusu final klabu bingwa 1974, kombe la caf fainal 1993, robo klabu bingwa 2003...

Uko sawa Mkuu.. klabu inayoifuatia Simba Sc katika mafanikio Africa kwa mbaali sana ni Malindi ya zenji, ambayo mwaka 1994 ilifika robo fainali ya kombe la shirikisho.
 
Uko sawa Mkuu.. klabu inayoifuatia Simba Sc katika mafanikio Africa kwa mbaali sana ni Malindi ya zenji, ambayo mwaka 1994 ilifika robo fainali ya kombe la shirikisho.

sembo unakumbukumbu nzuri sana, malindi ya enzi hizo ilikua na wazungu wawili kutoka bulgaria nimewasahau kidogo majina.. Na hao wazungu mmoja wapo alikua ktk list ya kwanza ya wachezaji 30 wa kwenda world cup '94 marekan lakini baadae akachujwa ktk list ya wachezaj 23...
 
Nawe uko vizuri sana kwa kuifahadhi kumbukumbu vyema.. kudos kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…