Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga!
Simba nusu final klabu bingwa 1974, kombe la caf fainal 1993, robo klabu bingwa 2003...
Je imewahi kufikia wapi kwenye mashindano ya kimataifa? na mwaka gan?
Simba nusu final klabu bingwa 1974, kombe la caf fainal 1993, robo klabu bingwa 2003...
Uko sawa Mkuu.. klabu inayoifuatia Simba Sc katika mafanikio Africa kwa mbaali sana ni Malindi ya zenji, ambayo mwaka 1994 ilifika robo fainali ya kombe la shirikisho.
sembo unakumbukumbu nzuri sana, malindi ya enzi hizo ilikua na wazungu wawili kutoka bulgaria nimewasahau kidogo majina.. Na hao wazungu mmoja wapo alikua ktk list ya kwanza ya wachezaji 30 wa kwenda world cup '94 marekan lakini baadae akachujwa ktk list ya wachezaj 23...