mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
- Thread starter
-
- #21
Vinapatikana ktk ofisi za wakuu wa wilaya, ila vina nasaba na TRA.Hivi vitambulisho unaenda chukuwa T.R.A? Ama jiji sijaelewa samahani
Vinapatikana ktk ofisi za wakuu wa wilaya, ila vina nasaba na TRA.
Aamin in sha Allah! Nitaenda kukifuata.kitambulisho kinakuhusu ilimradi tuu mtaji wako usiwe umevuka 4M
Sio mauzo au faida, ni mtaji usivuke 4mSio kosa cha msingi in mauzo/faida yako yasizidi million nne kwa mwaka
Hii bado haijakaa vzr! Naona ina mapokeo tofauti tofauti!Sio mauzo au faida, ni mtaji usivuke 4m
Ahaa Shukrani Mkuu kwa ufafanuzi.Ninachoelewa aliongea general kwamba mradi mtaji wako usiwe umevuka 4m, kama upo chini ya hpo ata biashara yako iwe movable au immovable bado unakidhi vigezo vya kupata kitambulisho.
Naomba kuleta mrejesho baada ya kufika ofisi husika! " Hakuna hata mfanyakazi mmoja, wameacha maagizo kwa ma PS wanasitisha huduma hadi sikukuu zote zipite! Xmas na mwaka mpya!Kajaribu kwenda mkuu halafu usiache kuleta mrejesho hapa.
Wajuzi watakujuza mkuu lakin
Huu sio mrejesho wa ulichoulizwa. Tuletee mrejesho baada ya kwenda tena sikukuu zikiishaaNaomba kuleta mrejesho baada ya kufika ofisi husika! " Hakuna hata mfanyakazi mmoja, wameacha maagizo kwa ma PS wanasitisha huduma hadi sikukuu zote zipite! Xmas na mwaka mpya!
Sawa Mkuu, naahidi kuleta mrejesho kwa kila hatua!Huu sio mrejesho wa ulichoulizwa. Tuletee mrejesho baada ya kwenda tena sikukuu zikiishaa
Poa mkuu.Sawa Mkuu, naahidi kuleta mrejesho kwa kila hatua!