Naomba kujua tafsiri sahihi ya mmachinga ambaye ndie mlengwa wa kitambulisho cha umachinga

Ninachoelewa aliongea general kwamba mradi mtaji wako usiwe umevuka 4m, kama upo chini ya hpo ata biashara yako iwe movable au immovable bado unakidhi vigezo vya kupata kitambulisho.
 
Ahaa Shukrani Mkuu kwa ufafanuzi.
 
Kajaribu kwenda mkuu halafu usiache kuleta mrejesho hapa.

Wajuzi watakujuza mkuu lakin
Naomba kuleta mrejesho baada ya kufika ofisi husika! " Hakuna hata mfanyakazi mmoja, wameacha maagizo kwa ma PS wanasitisha huduma hadi sikukuu zote zipite! Xmas na mwaka mpya!
 
Huu sio mrejesho wa ulichoulizwa. Tuletee mrejesho baada ya kwenda tena sikukuu zikiishaa
 
Back
Top Bottom