mwanafasafajo
Member
- Jun 18, 2019
- 11
- 0
Mbia wa biashara gani?? Ili uelekezwe platform sahahia. Unadhani wabia ni Matunguli kwamba utayakuta kwa mganga??
Sema nina biashara ya Upimaji viwanja nahitaji Directrory ya kupata Mbia, au Nafanya Biashara ya Mafuta ya alizeti nahitaji Mbia utaelekezwa kwa wabia wa bidhaa za Mafuta.
Huoni Kwamba nitakuwa Nauza idea
ingia Instagram andika Stephan mbia mchezaji wa zamani wa CameroonHusika na Habari hapo juu,waheshimiwa shida Yangu ni moja tu kumtafuta mbia nisaidieni kujua
Huyu anamtafuta mbia yupi???mie namjua stephan mbia yupo mchezaji RAIA wa Cameron
Sasa wewe unaulizwa mbia unatukana watu! Unatafuta mbia wa kukugegeda?Akili ndogo
Mkuu sio akili ndogo.Akili ndogo