Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Sielewagi kabisa mdauPagumu
Kwann Cannabino awe MC na Lunya awe rapa? Flow,lyrics,content au nn??Mc conboi , rapper young lunya
Hii mada ilishawahi kuletwa humu na nilijibu hivi
Sawa sawa KRS 1 ni hatari, vipi kwa marehemu Sean price, immortal technique au Vinnie paz??My best Mcees are KRS1, Jin Au-Yeung, known professionally as MC Jin (
Jin
Ngoma yake Kali Ni Learn Chinese album yake yote Ni Kali sana)
, Canabus and Mzungu A Little Slim Shaddy Eminem.
My best Rappers are Mase, Tupac and Fredro Starr
Sasa kuna mwana anasema Roma sio Mc ni rapper[emoji848]Hii mada ilishawahi kuletwa humu na nilijibu hivi
Unapoongelea elements za MC unatakiwa uelewe kwamba ni lazima awe na uwezo wa kuwakilisha jamii
MC anatakiwa awe na uwezo wa kuwakilisha, kuwasilisha na kufikisha taarifa kwa jamii. Na pia anaweza akawa na vinasaba vya upande wa biashara
Jambo ambalo wengi wanashindwa kuelewa ni kua MC ni rapper pia lakini utofauti kati ya MC na rapper ni kwamba rapper mara nyingi huongea kuhusu personal issues.
Mfano mzuri kama madee "nani kamwaga pombe yangu" au young killer "sina swaga" nk. Unaona kabisa kua hivyo ni vitu ambavyo vinamuhusu yeye
MC sasa tukichukulia mfano wa mtu kama Professa j na mtu kama fid q unaweza ukaaona ni watu wenye uwezo wa kuelezea mambo ya kukufundisha, haimuhusu yeye tu bali jamii kiujumla
MC huongea kama mtu wa tatu anapo delivery ujumbe wake. Mfano wa mzuri ni hii verse ya fid Q "ongea maisha ya kuunga unga hii shuhuli mi naiweza, hapa utaambulia ushauri tu ukihitaji msaada wa kifedha.../"
Roma ni McSasa kuna mwana anasema Roma sio Mc ni rapper[emoji848]
OhoooNimekuja kugundua kuwa Rapper ndo Emcee na huyo huyo Emcee ndiye Rapper.
Shukrani Kaka. So Ngwair anakaa wapi???Roma ni Mc
Kuna kitu ambacho kinawaweka watu kwenye mkanganyiko sana
Kuwa Mc haina maana kila siku we utakuwa unaandika contents za kuigusa jamii tu au siku uki rap kuhusu mambo yako binafsi basi unakuwa regarded kama Rapa
Kipimo kizuri cha kutofautisha ni Roma na Lunya
Roma kaimba Pastor, Tanzania, Mr president nk. Nyimbo zake 85℅ kaizungumzia jamii
Lakini hatuwezi kusema Roma ni Rapper kwasababu kaimba "usimsahau mchizi" na zile collabo na Stamina ambazo wamejiongelea sana wao kuliko kuigusa jamii.
Njoo sasa kwa Lunya, huyu nyimbo zake zote 90℅ kaimba kuhusu mambo personally, mademu l, magari sijui pesa nk.
Huyu sasa ndio Rapper
RapperShukrani Kaka. So Ngwair anakaa wapi???
My best Mcees are KRS1, Jin Au-Yeung, known professionally as MC Jin (
Jin
Ngoma yake Kali Ni Learn Chinese album yake yote Ni Kali sana)
, Canabus and Mzungu A Little Slim Shaddy Eminem.
My best Rappers are Mase, Tupac and Fredro Starr