Naomba kujua tofauti ya Toyota Pick Up na Nissan Pick Up

Kua na mpango wa ki pick up matangqzo mji mzima asa wale wanaonunua matruck 50 kwa mpigo wako kimya du!?
 
Nataka inisaidie shughuli ndogo ndogo za shamba
Kama ni shamba chukua Toyota Hilux 2.8 Manual diesel kama hii hapa. Alitumia babu Mpaka mjukuu anatumia
 
Attachments

  • CBDA6535-91E1-428B-AA02-E312CFD9C7B6.jpeg
    CBDA6535-91E1-428B-AA02-E312CFD9C7B6.jpeg
    40.5 KB · Views: 74
Wewe ndio mwenye upumbavu, mtoa hoja anaulizia pick up gani bora kati ya toyota na Nissan, na mimi nimemshauri Toyota hilux sc(hii ni pick up )au nimekuchanganya na lugha hapo, kama ulikua ni mjinga basi jifunze kama una upumbavu can't help
Achana na huo mzigo kama ameshindwa kuelezea kile ambacho kipo kwenye ubongo wake
Pongezi kwa ufafanuzi mzuri
 
Kama Huna Hela Za Kutosha Stay Away From Nissan. Vipuri Sio Siri Bei ni karibia au mara Mbili ya Vipuri vya Toyota.

Mfano; clutch cylinder ya Juu Mimi nanua 25k-50k Kwa Gari yangu ya Toyota. Full Set.

Gari hyo hyo Nissan kifaa hcho hcho ni 130k na Vingine Vingi.

Kwahyo Ukichukua Nissan, Uwe na Mfuko Mzuri.

Kuna kuhusu Off-road Survival ya Toyota Iko Juu. Nimekumia Off-road Aisee Acha Kabisa. Fain Belt ilikatika Porini. Siku Mbili ikaagizwa Bongo. Ikapigwa Chap.

Nissan Ilukuja Ku Knock. Iliniangisha kwenye Mradi.

Kiukweli naziepuka Sana Nissan.

Toyota is the Best.
Wanasema hivi katika pick up zuri na zenye uimara ni voskwegen ni kweli?
 
Nina mpango wa kununua gari aina ya Pich Up used. Hivyo naomba kujua kati ya Toyota na Nissani ipi ni bora in terms of Bei, uimara, service na matumizi ya mafuta. Asanteni.
Kwa uzoefu wangu,inategemea nawewe unahitaji nini zaidi na wapi unapoishi.

NISSAN
Spares ziko juu na upatikanaji wake ni wa shida kwa baadhi ya mikoa,ila ukifunga OG ni mkataba!
wana body ngumu sana kuliko za hilux za gen za kuanzia 2004 kuja mbele.
Offroad zinajiweza.
Gen nzuri ni za nyuma 1997 kurudi nyuma(Navara 1st gen,wakina datsun na hardbody np300)sababu ya engine imara,body ngumu hazina umeme mwingi,mafundi wetu wa chini ya mwarobaini wanazimudu haswa.
Mbali na hizo model sikushauri kama huna uwezo sana!ukipata TD25,TD27,KA hazina mbwembwe!

HILUX
Spare kibao,mafundi kibao.
Ngumu pia offroad.
Model za kwanzia 2004(virgo)na kuendelea zina body nyanya sana kama ilivyo kwa nissan navara 2nd gen mpaka sasa!
Hilux zina nafasi kubwa kidogo kuliko nissans kwenye siti za nyuma kwa upande wa double cabins!
Engines zao zipo nzuri nyingi zisizo na mbwembwe,ukipata 2L,3L,5L ziko poa.
 
Gen nzuri ni za nyuma 1997 kurudi nyuma(Navara 1st gen na wakina datsun)sababu ya engine imara,body ngumu hazina umeme mwingi,mafundi wetu wa chini ya mwarobaini wanazimudu haswa.
Mbali na hizo model sikushauri kama huna uwezo sana!ukipata TD25,TD27,KA hazina mbwembwe!

HILUX
Spare kibao,mafundi kibao.
Ngumu pia offroad.
Model za kwanzia 2004(virgo)na kuendelea zina body nyanya sana kama ilivyo kwa nissan navara 2nd gen mpaka sasa!
Hilux zina nafasi kubwa kidogo kuliko nissans kwenye siti za nyuma kwa upande wa double cabins!
Engines zao zipo nzuri nyingi zisizo na mbwembwe,ukipata 2L,3L,5L ziko poa.
Hapo kwny Nissan uliposema tu akipata TD25,TD27 hazina mbwembwe nimeelewa unajua vzr sana unachokisema mkuu.Afuate ushauri wako
 
Kama Huna Hela Za Kutosha Stay Away From Nissan. Vipuri Sio Siri Bei ni karibia au mara Mbili ya Vipuri vya Toyota.

Mfano; clutch cylinder ya Juu Mimi nanua 25k-50k Kwa Gari yangu ya Toyota. Full Set.

Gari hyo hyo Nissan kifaa hcho hcho ni 130k na Vingine Vingi.

Kwahyo Ukichukua Nissan, Uwe na Mfuko Mzuri.

Kuna kuhusu Off-road Survival ya Toyota Iko Juu. Nimekumia Off-road Aisee Acha Kabisa. Fain Belt ilikatika Porini. Siku Mbili ikaagizwa Bongo. Ikapigwa Chap.

Nissan Ilukuja Ku Knock. Iliniangisha kwenye Mradi.

Kiukweli naziepuka Sana Nissan.

Toyota is the Best.
Kumbuka Toyota bei yake kununulia si mchezo
 
Asanteni wote. Mmenipa mwanga[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwa uzoefu wangu,inategemea nawewe unahitaji nini zaidi na wapi unapoishi.

NISSAN
Spares ziko juu na upatikanaji wake ni wa shida kwa baadhi ya mikoa,ila ukifunga OG ni mkataba!
wana body ngumu sana kuliko za hilux za gen za kuanzia 2004 kuja mbele.
Offroad zinajiweza.
Gen nzuri ni za nyuma 1997 kurudi nyuma(Navara 1st gen,wakina datsun na hardbody np300)sababu ya engine imara,body ngumu hazina umeme mwingi,mafundi wetu wa chini ya mwarobaini wanazimudu haswa.
Mbali na hizo model sikushauri kama huna uwezo sana!ukipata TD25,TD27,KA hazina mbwembwe!

HILUX
Spare kibao,mafundi kibao.
Ngumu pia offroad.
Model za kwanzia 2004(virgo)na kuendelea zina body nyanya sana kama ilivyo kwa nissan navara 2nd gen mpaka sasa!
Hilux zina nafasi kubwa kidogo kuliko nissans kwenye siti za nyuma kwa upande wa double cabins!
Engines zao zipo nzuri nyingi zisizo na mbwembwe,ukipata 2L,3L,5L ziko poa.

Mkuu unaizungumziaje Hilux yenye engene 1kd
 
Back
Top Bottom