spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Mimi naona wanaume ndo tunapeana sana mchongo ukizingatia unaweza ukampa connection mwanamke na akachoma kazi ukaonekana wewe na yeye wote mafala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mzee..Mimi naona wanaume ndo tunapeana sana mchongo ukizingatia unaweza ukampa connection mwanamke na akachoma kazi ukaonekana wewe na yeye wote mafala
Hapo pana shimo Refu lisilo na mwisho. Likisubiri kwa hamu kummeza mhusika. Be Hold. Be carefull men.Shida wanaume tumejaa tamaa ya ngono. Hii ndiyo inatufanya tuwape kipaumbele wanawake kuliko wanaume.
Inasikitisha. Ila Finali ni Hum hum duniani.Kweli.thread za madem kuomba kaz watu wanatoa misaada hatar ila kidume mmh comment 2 afu za nenda kalime.