Naomba kujua, ugumu wa kupeana connection za kazi unatoka wapi

Mimi naona wanaume ndo tunapeana sana mchongo ukizingatia unaweza ukampa connection mwanamke na akachoma kazi ukaonekana wewe na yeye wote mafala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…