Naomba kujua ukweli kuhusu hili!

Naomba kujua ukweli kuhusu hili!

Janeting

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
40
Reaction score
80
Nataka kununua gari aina ya Toyota corona premio 2001-2007 lakini naomba ushauri niagize mpya au nitafute used humu kwenye mitaa ya bongo yetu?

Kwa wazoefu naomba kujua Bei za used na zile za kuagiza japani Ili nione kama naweza kumudu ipi. Asanteni[emoji120]
 
Naomba Bei mpya za Toyota corona premio 2001 kwa sasa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sio mpya ni used from JAPAN Ngoja nikupe muongo, Ingia SBTjapan au BEFORWARD search Premio zitakuja za miaka mingi Mtaalam angalia ya mwaka wako 2001 ambayo unaitaka bei haziko fixed unaweza kuta ya 2001 ina bei kubwa kuliko 2005 na huwa zina badirika kila siku kutegemeana na hali ya gari na factors nyingine kama C.c kikubwa jipange hizi gari kwa Sasa bila 17m huimiliki hizo ndo zile za mwaka 2001 hadi 2006 na $ inapanda kila siku maana mala ya mwisho mwezi wa 7 BOT walikuwa wanauza kwa 2599 ukifanya malipo ya nje kazi kwako Boss.​
 
Nataka kununua gari aina ya Toyota corona premio 2001-2007 lakini naomba ushauri niagize mpya au nitafute used humu kwenye mitaa ya bongo yetu?

Kwa wazoefu naomba kujua Bei za used na zile za kuagiza japani Ili nione kama naweza kumudu ipi. Asanteni[emoji120]
Hivi unaweza kupata gari mpya ambayo ni model ya 2001-2007?

Au neno mpya una maanisha nini?
 
Nataka kununua gari aina ya Toyota corona premio 2001-2007 lakini naomba ushauri niagize mpya au nitafute used humu kwenye mitaa ya bongo yetu?

Kwa wazoefu naomba kujua Bei za used na zile za kuagiza japani Ili nione kama naweza kumudu ipi. Asanteni[emoji120]
nunua yoyoyte nzuri tu

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom