Naomba kujua ukweli kuhusu vioo

[emoji1787][emoji1787]
Noma sana hiv vioo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16]basi kwenye sura tu ndo kioo kimekudanganya ila vingine vyote kioo kimesema ukweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa mtazamo wako mkuu sura unahis itakuaje..... Ety Leo nmejiangalia yani tako sina kabisa jamani kioo kinanisaliti sana
 
🤣🤣🤣
 
Hasa vioo vya gym vinadanganya sana

Ukijiangalia unajiona boyka ila ukitoka tu unakutana na watu mtaan mbavu kukuzidi[emoji16]
 
Ukweli ni kwamba ukiwa gym unapiga huku unajicheki kwenye kioo, Unajiona kweli mwili si huu hapa kwasababu misuli inakuwa Kwenye preesure ya kuendelea kutanuka,
Ila wakati ambao umeshamaliza, Umeoga,
Na misuli Imeshasinyaa huko zako nyumbani au around, Ndo unajicheki kwenye kioo unajiona Tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…